DRC yaomba msaada kwa Ufransa ili ya kupambana na wapiganaji waislamu mashariki mwa nchi

Raisi wa DRC Félix Antoine TSHISEKEDI pamoja na mwenziwe Emmanuel Macron wa Ufransa

Raisi wa Jamhuri ya kidemocrasia ya Kongo ameomba juma nne msaada kwa Ufransa ili kugongana na wapiganaji waislamu ADF wenyi kutatiza raia mashariki mwa nchi hiyo

« Mashariki mwa nchi yangu kuliwundwa kundi moja lenyi kuzaniwa waislamu « anena Félix Antoine TSHISEKEDI mbele ya mwenziwe Emmanuel Macron wa Ufransa.

Félix Antoine TSHISEKEDI atoa mfano wa kundi lenyi kushikilia kinaganaga silaha kwa jina la ADF kwenyi eneo.

Kwa ukumbusho ni tangu mwaka 1995 ndipo kundi hilo waislamu wa Uganda walijipenya mashariki mwa DRC na kubaki kama wakaaji. Tarehe 11 machi Marekani kuwataja miongoni mwa waasi wakubwa ulimwenguni ( groupe terroriste) kwa kimombo.

Hawa washutumiwa ndani ya mauaji ya maelfu ya raia tangu mwezi oktoba 2014 eneo za Béni, na kando kando.

Kutokana na kituo cha upashaji habari AFP tayari raia 1842 wameuwawa tangu mwezi aprili 2017 ikiwa ripoti ya watalaam husika na usalama mwa Kivu.

Fahamuni kwamba tangu mwezi aprili 2014 miji ya Béni na Butembo ikiwa mpakani mwa Uganda yaishi hali ya heka heka kupitia migomo kila leo wakiendelea kulia mauaji yenyi kusababisha na ADF.

Chumba cha wandishi

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire