Hali yafanana kuwa shwari baada ya watu kukimbia mripuko wa volkeno mjini Goma
Hali inafanana kuwa shwari baada ya kuripuka kwa volkeno mjini Goma majira ya saa moja usiku. Raia walikimbia huku na kule wakipoteana, kujeruhiwa na hata […]
Hali inafanana kuwa shwari baada ya kuripuka kwa volkeno mjini Goma majira ya saa moja usiku. Raia walikimbia huku na kule wakipoteana, kujeruhiwa na hata […]
Ujumbe miongoni mwanabunge Patrick Munyomo mchaguliwa wa Goma ukiongozwa na katibu mkuu wa Muungano wa chama AFDC uliwasili hii hii ijumaa tarehe 21 mei kwenyi […]
Waziri makamu wa ucukuzi nchini Jamhuri ya kidemocrasia ya Kongo mwanasheria Ekila Likombo amejielekeza jimboni Kivu ya kusini ambako atashiriki kwenyi kilio ya mama mzazi […]
Waziri wa uchukuzi jimboni Kivu ya kusini ametoa mwezi moja kwa watembeza pikipiki na madreva mjini Bukavu wapate kuwa na vikartasi mhimu vya kuwaruhusu kwendesha […]
Waendesha pikipiki mjini Bukavu wapinga hii juma tano tarehe 19 mei msako ulioanzishwa na widhara ya ucukuzi jimboni Kivu ya kusini. Katika lengo la kuchunguza […]
Le parti politique « Démocratie Universelle et Inclusive » DUI en sigle veut à tout prix que la femme accède aux postes de commandement en République Démocratique […]
La délégation de la Fédération des sociétés de la croix rouge et du croissant rouge séjourne depuis ce jeudi 13 mai à Goma chef lieu […]
Katika mkutano na wandishi habari hii juma tano tarehe 5 mei liwali wa Jimbo la Kivu ya kaskazini Carly Nzanzu Kasivita anena kuunga mkono hatua […]
Kama ilivyo tangazwa kwenyi Televisheni ya taifa RTNC hii juma nne jioni Jenerali Luboya Nkashama ndiye amechukuwa uongozi wa jimbo la Kivu ya kaskazini, makamu […]
Raisi wa Jamhuri ya kidemocrasia ya Kongo tayari amemutaja Jenerali LUBOYA NKASHAMA kama liwali wa jimbo la Kivu ya kaskazini akimgombowa Carly Nzanzu Kasivita. Hiyo […]
Akiwa ziarani jimboni Kivu ya kaskazini mwanabunge Safari anena kuja jimboni Kivu ya kaskazini ili kuzungumza na wachaguliwa wake kuhusu yale wangojea kwa serkali nyipya […]
Mwanabunge jimboni Kivu ya kaskazini Adrien SIYASEMBA asema kuwa amejibu kwa mwaliko wake Raisi kuhusu kuundwa kwa serkali nyipya . Akifurahishwa na hatua iliyochukuliwa naye […]
Tarehe 3 mei kila mwaka, ulimwengu mzima yasherekea siku kuu ulimwenguni ya uhuru wa upashaji habari. Mjini Goma sherehe iliandaliwa na Muungano wa wapasha habari […]
Mwanabunge Saasita jimboni Kivu ya kaskazini anena kuwa waziri mkuu aliahidi kuhusika na usalama mdogo mashariki mwa DRC hususan jimboni Kivu ya kaskazini wakati wa […]