Raisi wa Jamhuri ya kidemocrasia ya Kongo tayari amemutaja Jenerali LUBOYA NKASHAMA kama liwali wa jimbo la Kivu ya kaskazini akimgombowa Carly Nzanzu Kasivita.
Hiyo ni kutokana na katiba ya nchi inayoruhusu uongozi wa kijeshi yaani état de siège kwa kimombo.
Kupitia televisheni ya taifa , Raisi wa DRC ametaja Jenerali LUBOYA NKASHAMA kama liwali wa jimbo na makamu wake
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.