Hali yafanana kuwa shwari baada ya watu kukimbia mripuko wa volkeno mjini Goma

Hali inafanana kuwa shwari baada ya kuripuka kwa volkeno mjini Goma majira ya saa moja usiku. Raia walikimbia huku na kule wakipoteana, kujeruhiwa na hata kupoteza maisha wakati wa heka heka.

Hawa wanaokana kurudi wakichoka kwa kuwa walitembea mwendo mrefu walipokimbia mripuko wa volkeno, wakihofia maisha yao.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire