
Waziri wa elimu ya kiufundi nchini DRC Antoinette KIPULU amewasili hii juma pili tarehe mosi agosti 2021 ili ya kuanzisha rasmi kazi za mutihani mashariki mwa DRC
Hii ni mara ya kwanza tangu elimu ya kiufundi uanzishwe nchini DRC . Akipokelewa na umati kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma, anena pia kwamba atajielekeza jimboni Kivu ya kusini katika lengo lile.
Baada ya hapo vikartasi vya mutihani wa serkali vimefikishwa na ujumbe toka widhara ya elimu ya kiufundi tangu ijumaa mjini Goma.
Pamoja na hayo Emmanuel Gashamba inspekta mkuu jimboni katika sekta hiyo afahamisha kuwa ni wa kandideti elfu 1663 ndio wangojewa kwenyi mtihani.
Akiwaomba kujitahidi ili wafaulu vyeti vyao na waweze kufalpia ndani ya jamii kupitia kazi zao za mikono.
Juvénal Murhula
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.