Goma : Didier MUSETE akuja anzisha rasmi kazi kazi za kushimika vyombo vitakavyo rahisha mtandao

Akiwasili hii juma pili tarehe 9 agosti mjini Goma, Didier MUSETE kiongozi mkuu wa kazi za posta nchini DRC aeleza mbele ya wandishi habari kuwa ataanzisha ujenzi wa kilomita mia 640 humu jimboni Kivu ya kaskazini katika eneo za Béni , Butembo, Rutshuru, Kasindi na kadhalika.

Alifahamisha kwamba hiyo ni suluhisho kijamii kwa raia watumiao mtandao, simu na hata televisheni. Na hii ni moja wapo ya maendeleo nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.

Kiongozi mkuu ahusikae na posta pamoja na mawasiliano anena kwamba DRC tayari imesahini makubaliano na shirika moja la ugenini ili ya kutekeleza mradi huo.

Akiongeza kwamba ni kilomita elfu 16 ndizo zitajengwa kota nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Tarehe 25 juni iliyopita DRC ilisaini makubaliano na shirika moja la Misri kwa jina la Benya.

Juvénal Murhula

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire