Goma: Mwanabunge Jean Paul SEGIYOBE ahadi kufikisha malalamiko ya raia kunako ngazi za juu

Akitokea mjini Kinshasa mubunge Jean Paul SEGIYOBE anena kuwa yuko likizoni jimboni mwake Kivu ya kaskazini ili kujioneya binafsi

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire