
Goma : Kiongozi wa Kamisheni husika na ukingo barabarani Kivu ya kaskazini arudi Goma toka Kinshasa katika ziara ya kazi
Akihojiwa na wandishi habari kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma, Bwana Nova Kasimu Saidi anena kuwa amekutana na wenzake wa Kinshasa na Congo ya kati […]