LA RONDE INFO

LA RONDE INFO

  • Accueil
  • Société
  • Politique
  • Social
  • Santé
  • Culture, Sport et Loisirs

Mois : novembre 2021

Aucune image

Goma: Mathieu Batumike Mpinike anena kuunga mkono Raisi Félix Antoine TSHISEKEDI kwa kazi za maendeleo nchini DRC na serkali kwa jumla

29 novembre 2021 La Ronde Info 0

Mwakilishi wa chama cha kisiasa Les républicains Kivu ya kaskazini na kusini Mathieu Batumike anena kuuunga mkono kazi za maendeleo zake Raisi wa DRC pamoja […]

Aucune image

Kinshasa : Ujumbe wa Muungano wa ma askofu CENCO imekutana naye Raisi wa DRC Félix Antoine TSHISEKEDI

28 novembre 2021 La Ronde Info 0

Ujumbe wa Muungano wa ma askofu nchini DRC CENCO umekutana ijumaa tarehe 26 novemba na Raisi wa DRC Félix Antoine TSHISEKEDI TSHILOMBO. Duru zetu toka […]

Aucune image

Goma: Robert Seninga anena kukutana na Prezidenti wa seneti mjini Kinshasa kuhusu usalama jimboni mwake

27 novembre 2021 La Ronde Info 0

Akiwasili hii ijumaa tarehe 26 novemba kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma, Prezidenti wa bunge la jimbo la Kivu ya kaskazini Robert Seninga anena kukutana […]

Aucune image

Nord Kivu: Le Directeur du FPI de cette province encourage les jeunes dans l’entrepreneuriat

17 novembre 2021 La Ronde Info 0

Nous demandons aux jeunes de se regrouper dans leurs incubateurs et à ces derniers de venir aux FPI pour discuter les modalités de financement à […]

Aucune image

Maniema: Jamaa nyingi zaishi bila makao kutokana na mvua Kali

12 novembre 2021 La Ronde Info 0

Ma mia ya akina mama waja wazito na watoto wadogo walala nje siku hizi pa Pangi jimboni Maniema kutokana na mvua kali ziliyonyesha huko mwanzoni […]

Aucune image

Goma: Patrick MUNDEKE anena kwamba Prezidenti wa chama chake Moise KATUMBI aheshimu sheria kwa manufaa ya raia

9 novembre 2021 La Ronde Info 0

Akihojiwa na wandishi habari kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma hii juma nne tarehe 9 novembre 2021, mshauri husika na maswala ya vijana wake Moïse […]

Aucune image

Goma: Mwanabunge Alexis Bahunga asema kwamba DRC ni ya wakongomani wote ila siyo watu wamoja peke

5 novembre 2021 La Ronde Info 0

Alexis Kahunga mcaguliwa wa Masisi amerudi hii ijumaa mjini Goma toka Kinshasa ambako alishiriki kwenyi kikao kilichoandaliwa na chama cha kisiasa Ensemble pour la Republique […]

Aucune image

Goma : Mwanabunge Promesse Matofali anena kushiriki kwenyi kikao cha Ensemble pour la Republique pa Kinshasa

5 novembre 2021 La Ronde Info 0

Akihojiwa na wandishi habari kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma, Mwanabunge jimboni Kivu ya kaskazini Promesse Matofali anena kuwa kazi za kikao zaendeshwa hadi hatua […]

Aucune image

Bukavu : Raia mjini humo waishi hali ya heka heka tangu usiku wa juma nne kutokana na milio ya risasi

3 novembre 2021 La Ronde Info 0

Hali yaendelea kuwa ya wasi wasi mjini Bukavu ingawa milio ya risasi kupunguwa na raia wamoja kutoka nyumbani. Ndizo habari tunazo kwa sasa kuhusu milio […]

Aucune image

Kivu ya kusini : Shirika nyipya la raia latetea kuhusu ujenzi wa barabara mjini Bukavu na kwenyi wilaya

2 novembre 2021 La Ronde Info 0

Habari toka Shirika hilo Kivu ya kusini zaeleza kuwa barabara nyinyi zapatikana katika hali mbovu kwenyi mitaa mjini Bukavu na kunako wilaya. Shirika Nyipya la […]

Aucune image

Sud kivu :’La Nouvelle Dynamique de la Société du Sud kivu plaide pour la réhabilitation des plusieurs tronçons routiers en ville comme dans les territoires

2 novembre 2021 La Ronde Info 0

Dans un message adressé à votre journal en ligne, la Nouvelle Dynamique de la société civile du sud- kivu renseigne que plusieurs tronçons routiers sont […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini : Vyuo vikuu na yunivasti vimekomesha mwaka wa shule 2020-2021

1 novembre 2021 La Ronde Info 0

Mwaka wa shule 2020-2021 ulihitimishwa hii juma mosi tarehe 30 oktoba kwenyi Vyuo vikuu na yunivasti eneo lote la Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Mjini […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini : Nyiragongo: Wakaazi wa Kijiji Rukoko wachukua hatua ya kujihusisha na maendeleo ya kwao

1 novembre 2021 La Ronde Info 0

Kiongozi wa Kijiji Rukoko Riphin NDAMBI aomba wakaazi wa Kijiji hicho kutowa mcango kila moja ili kununua nafasi ambayo ni shamba la wafu eneo hilo. […]

Articles récents

  • Sud Kivu : Les cadres et les militants du regroupement politique ADRP accueillent leur autorité morale François Masumbuko Rubota
  • Nord Kivu : Les cadres et les militants du regroupement politique ADRP accueillent leur autorité morale François Masumbuko Rubota
  • Nord Kivu : GERIA accompagne la CENI pour un aboutissement heureux du processus électoral ( Diogène Abely PATAULE)
  • Kivu ya kaskazini : Moïse Katumbi aahidi kuboresha maisha ya wakongomani mbele ya umati uliompokea kwa shangwe na vigelegele
  • Goma: Aux services de sécurité, de mettre la main sur ces inciviques qui abiment ou arrachent les affiches des autres candidats ( Joseph Kitaganya)

Commentaires récents

  • Kivu ya kaskazini : Mapigano imeanza mara tena kati ya waasi ya M23 na jeshi la taifa – LA RONDE INFO dans Kivu ya kusini : Zaidi ya miaka ishirini na tano, kiwanda cha sukari pa Kiliba kimeanza mara tena kutowa matunda
  • Dynamique Malembe dans Nyiragongo : Vijana wa Kiziba 2 waomba serkali kuwalindia usalama eneo hilo la jimbo la Kivu ya kaskazini
  • Redouta MWERESI ARUTA dans Goma: Vijana wasichana na wavulana wanafunzi washikwa katika vitendo haramu kwenyi kata Office
  • Jimmy dans Sud Kivu : Les Républicains de cette province accompagnent à sa dernière demeure l’un de leurs le Professeur Ordinaire Baluku Bajop
  • KAPAKO MUKALA dans RDC: Mathieu Batumike Mpinike salue le courage du Président du Malawi à révoquer les membres du cabinet souhaite ainsi au Chef de l’Etat congolais

Archives

  • décembre 2023
  • novembre 2023
  • octobre 2023
  • septembre 2023
  • août 2023
  • juillet 2023
  • juin 2023
  • mai 2023
  • avril 2023
  • mars 2023
  • février 2023
  • janvier 2023
  • décembre 2022
  • novembre 2022
  • octobre 2022
  • septembre 2022
  • août 2022
  • juillet 2022
  • juin 2022
  • mai 2022
  • avril 2022
  • mars 2022
  • février 2022
  • janvier 2022
  • décembre 2021
  • novembre 2021
  • octobre 2021
  • septembre 2021
  • août 2021
  • juillet 2021
  • juin 2021
  • mai 2021
  • avril 2021
  • novembre 2019

Catégories

  • Sécurité
  • Société
Copyright © 2023 LA RONDE INFO | Site d'informations en continue