LA RONDE INFO

LA RONDE INFO

  • Accueil
  • Société
  • Politique
  • Social
  • Santé
  • Culture, Sport et Loisirs

Mois : décembre 2021

Aucune image

Bukavu : Shirika nyipya la raia chumvi ya Kongo NDSCI lapanza sauti kuhusu hali mbovu kisiasa jimboni Kivu ya kusini

30 décembre 2021 La Ronde Info 0

Katika tangazo lake la tarehe 30 disemba 2021, Shirika nyipya la raia NDSCI lanena kufwatilia kwa makini hali kasiasa yenyi kuzorota kiasi jimboni Kivu ya […]

Aucune image

La Nouvelle Dynamique de Société Civile en RDC tire la sonnette d’alarme suite aux tracasseries militaires lors du couvre feu à Ciriri

30 décembre 2021 La Ronde Info 0

La Nouvelle Dynamique de la Société Civile du Sud- Kivu dénonce avec toutes énergies les tracasseries militaires dont ont été victimes les habitants de l’avenue […]

Aucune image

Bukavu : Shirika nyipya la raia NDSCI lalaumu kusimamishwa kwa kazi za ulalo Mugaba

29 décembre 2021 La Ronde Info 0

Shirika nyipya la raia NDSCI lapiga debe kuhusu kusimamishwa kwa kazi za ujenzi wa ulalo Mugaba ambao unaunganisha Kasha na mtaa wa Bagira na hata […]

Aucune image

Goma: Mwanabunge Ayobangira Safari apatikana likizoni jimboni Kivu ya kaskazini ili kusherekea mwisho wa mwaka

29 décembre 2021 La Ronde Info 0

Mwanabunge wa taifa Ayobangira Safari yuko likizoni mjini Goma ili kusherekea mwisho wa mwaka na wachaguzi wake Aliweza kujibu kwa maswala kadhaa ya wandishi habari […]

Aucune image

Goma: Promesse Matofali anena kuwa chama cha kisiasa Ensemble pour la République tayari kwenyi uchaguzi mwaka 2023 ili kubadili hali mbovu waishimo wakongomani

26 décembre 2021 La Ronde Info 0

Mwanabunge jimboni Kivu ya kaskazini Promesse Matofali anena kwamba hali ya chama cha kisiasa Ensemble pour la République ni bora zaidi. Na kwamba kinajitahidi kunako […]

Aucune image

Robert Seninga amesisitiza kuhusu usalama mdogo jimboni Kivu ya kaskazini alipo shiriki kwenyi Kongamano ya ma liwali

25 décembre 2021 La Ronde Info 0

Prezidenti wa bunge la Kivu ya kaskazini Robert Seninga anena kwamba amefikisha malalamiko ya raia wa jimbo lake kuhusu usalama mdogo unaowakumba. Ni wakati wa […]

Aucune image

Goma: Celestin Mvunabandi atoa hongera kwa raia wa Jimbo la Kivu ya kaskazini hususan kwa wale wa Rutshuru wanaokumbwa na usalama mdogo

24 décembre 2021 La Ronde Info 0

Akija Goma hii ijumaa tarehe 24 disemba toka mji mkuu Kinshasa, mwana seneti Célestin Mvunabandi Prezidenti wa chama cha kisiasa ACN nchini DRC , anena […]

Aucune image

Goma : Emmanuel Gashamba anena kufurahishwa na matokeo ya mtihani elimu ya kiufundi Kivu ya kaskazini ya kwanza

22 décembre 2021 La Ronde Info 0

Inspekta mkuu husika na elimu ya kiufundi Kivu ya kaskazini ya kwanza Emmanuel Gashamba asema kuwa na furaha kubwa baada ya kushiriki mjini Kinshasa kwenyi […]

Aucune image

Goma: La sécurité est pour le Chef de l’État congolais son cheval de bataille à l’Est de la RDC ( Aimé Jules Murhula)

18 décembre 2021 La Ronde Info 0

Le conseiller en matière juridique du Chef de l’État Aimé Jules Murhula salue les efforts du Président de la République démocratique du Congo Félix Antoine […]

Aucune image

Goma: Waziri husika na maswala za vijana nchini DRC yupo ziarani jimboni Kivu ya kaskazini na kusini

18 décembre 2021 La Ronde Info 0

Akiwasili kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma hii ijumaa tarehe 17 disemba 2021, waziri husika na maswala za vijana nchini DRC Yves BUNKULU ZOLA anena […]

Aucune image

Goma: Guy KIBIRA arudi mjini humo akisindikizwa na viongozi wa vijana nchini DRC

17 décembre 2021 La Ronde Info 0

Prezidenti wa shauri la vijana jimboni Kivu ya kaskazini Guy KIBIRA awasili hii alhamisi tarehe 16 disemba 2021 mjini Goma, toka mji mkuu Kinshasa. Akieleza […]

Aucune image

Goma : Mwanabunge Hubert FURUGUTA atoa maoni kuhusu hali ya kisiasa nchini DRC

17 décembre 2021 La Ronde Info 0

Mwanabunge Hubert FURUGUTA anena kuwa sheria ya DRC imefanya kazi yake kwa kumuachilia huru kwa muda Prezidenti wa chama UNC Vital KAMERHE. Huyu angojea kuachiliwa […]

Aucune image

Goma: Waziri wa afya nchini DRC anena kwamba tayari Raisi wa nchi ajihusisha na afya ya raia

16 décembre 2021 La Ronde Info 0

Akihojiwa na wandishi habari hii juma tano tarehe 15 disemba 2021 kunako uwanja wa ndege pa Goma, waziri makamu husika na afya nchini DRC Bi […]

Aucune image

Goma: Marie NYOMBO ZAINA anena kwamba atapigania haki ya mwanamke hadi mwisho

13 décembre 2021 La Ronde Info 0

Mratibu wa shirika husika na maendeleo ya mwanamke nchini DRC Bi Marie NYOMBO ZAINA anena kuanzishwa kwa shirika lake lisilo la kiserkali RENADEF tangu mwaka […]

Aucune image

Goma : La sixième édition du Forum national du monde du travail contre le VIH SIDA ouvre ses rideaux

12 décembre 2021 La Ronde Info 0

La coalition enterprises de lutte contre le VIH SIDA, la tuberculose et le paludisme organise du 13 au 17 décembre 2021 la sixième édition du […]

Aucune image

Marekani: Radi husababisha vifo vya watu na maafa mengine mengi

12 décembre 2021 La Ronde Info 0

Habari toka Marekani ni kwamba radi imegonga nchini humo na kusababisha vifo vya watu zaidi ya mia moja katika eneo kadhaa. Na kwamba nyumba chache […]

Aucune image

Bukavu : Etienne BUHENDWA aahidi kuboresha kazi za soko jimboni Kivu ya kusini akiomba wenzake kumuunga mkono

10 décembre 2021 La Ronde Info 0

Baada ya kuchaguliwa mara ingine sawa kiongozi wa Muungano wa kamati za wachuuzi jimboni Kivu ya kusini Étienne BUHENDWA anena kuwa atafanya yote iwezekanayo ili […]

Aucune image

Goma: Nabii Ken MUYAYA aleta ujumbe wa amani kwa raia wa jimbo la Kivu ya kaskazini wanaokumbwa na mauaji kila leo

10 décembre 2021 La Ronde Info 0

Mungu wetu ni Mungu wa amani, wa usawa, ambaye hutembeleya taifa lake ijapo hali ya mauaji laishimo. Mungu anayeinuwa na hajasahau kamwe mji wa Goma […]

Aucune image

Kivu: Chama cha kisiasa Les républicains canena kuwa na furaha kubwa kwa kuachilia huru kwa muda kwake Vital Kamerhe

7 décembre 2021 La Ronde Info 1

Katika matamshi yake Mratibu wa Chama Les républicains mashariki mwa DRC pia katibu makamu nchini wa chama hicho Mathieu BAtumike MPINIKE chama chake kina furaha […]

Aucune image

Sénégal : Kikao kuhusu amani na usalama barani Afrika kyafanyika

6 décembre 2021 La Ronde Info 0

Kumeanzishwa mjini Dakar mkutano mkuu ukijumwisha nchi za Afrika kuhusu amani na usalama. Hii ni kipindi cha saba tangu kuhairishwa kwa Kongamano hiyo kutokana na […]

Aucune image

Goma : Kijana moja huaga dunia kwa kufyatulia risasi

6 décembre 2021 La Ronde Info 0

Kijana moja mwenyi umri wa miaka zaidi ishirini afariki dunia baada ya kugongwa risasi na wanaozaniwa askari polisi pa kata Katoyi usiku wa juma pili […]

Aucune image

Goma : Julien PALUKU aomba kuunga mkono Jeshi la taifa FARDC

5 décembre 2021 La Ronde Info 0

Akiwasili kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma hii juma pili tarehe 5 disemba 2021, waziri ahusikae na viwanda nchini DRC Julien PALUKU KAHONGYA anena kuja […]

Aucune image

Bukavu : Uratibu wa chama cha kisiasa Les républicains unasema kukerwa na hali ya kisiasa jimboni Kivu ya kusini

4 décembre 2021 La Ronde Info 0

Katika mkutano hii ijumaa tarehe 3 disemba 2021, Kamati ya uratibu wa chama cha kisiasa Les républicains jimboni Kivu ya kusini unasema kuhuzunishwa na hali […]

Aucune image

Bukavu : Kongamano ya pili ya Muungano wa kisiasa nchini DRC BUREC itafanyika mjini humo

4 décembre 2021 La Ronde Info 0

Akiwasili mjini Goma toka mji mkuu Kinshasa, Prezident i wa Muungano wa kisiasa BUREC Jean Marie KASEREKA KATOKOLYO anena kufika mjini Goma, akielekea mjini Bukavu […]

Aucune image

Goma: Muungano wa kisiasa BUREC unaandaa kongamano kuhusu uchaguzi wa kamati ya uongozi mjini Bukavu

4 décembre 2021 La Ronde Info 0

Akihojiwa na wandishi habari kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma , Prezidenti wa Muungano wa kisiasa BUREC anena kuja mjini Goma ili kuandaa kongamano ambayo […]

Aucune image

Nord Kivu/ Nyiragongo : Des policiers ôtent les habits à un enfant mineur dans la matinée

3 décembre 2021 La Ronde Info 0

Un enfant mineur âgé d’au moins 15 ans s’est vu ôté son habit dans la matinée de ce vendredi 3 décembre 2021 non loin de […]

Aucune image

Kivu ya kusini: Muungano wa wandishi habari jimboni UNPC walazimisha mapatano kuhusu wandishi habari walijeruhiwa mjini Bukavu

3 décembre 2021 La Ronde Info 0

Wapasha habari tatu walijeruhiwa kunako bunge jimboni Kivu ya kusini mbele ianzishwe mkutano wa heka heka uliopelekeya liwali wa Jimbo Théo Ngwabije na timu lake […]

Aucune image

DRC Uganda : Jeshi la Uganda likiunga mkono lile DRC lanena kutoondoka kwenyi ardhi hiyo kabla kukomesha wanamugambo ADF

3 décembre 2021 La Ronde Info 0

Jeshi la Uganda laahidia kuondoka DRC litakapo komesha waasi wa ADF kwenyi udongo wa nchi hiyo. Duru toka hapa na pâle zaeleza kuwa wanajeshi walivuka […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini : Alexis GISARO anena kuanzishwa kwa kazi za ujenzi wa barabara eneo kadhaa jimboni

3 décembre 2021 La Ronde Info 0

Akiwasili hii alhamisi tarehe 2 disemba mjini Goma, waziri ahusikae na ujenzi nchini DRC Alexis GISARO asema kuanzishwa kwa kazi za ujenzi wa barabara Kasindi […]

Aucune image

Kivu ya kusini : Shauri ya chama Les républicains mashariki mwa DRC lanena kutounga mkono barua ya wanabunge kutaka kumuondowa madarakani liwali Théo Ngwabije na timu lake

1 décembre 2021 La Ronde Info 0

Shauri ya chama cha kisiasa chake Léon Kengo wa dondo « Les républicains mashariki mwa DRC kupitia mratibu wake Mathieu Batumike Mpinike lilikutana juma mosi mjini […]

Aucune image

Goma : Aubin MONGOLI aomba raia kuungana bega kwa bega ili ya kukomesha ukimwi

1 décembre 2021 La Ronde Info 0

Tarehe mosi disemba kila mwaka, ulimwengu mzima washerekea siku kuu ya kupiganisha ukimwi. Mjini Goma, siku hiyo ilisherekewa kwenyi ofisi ya liwali wa Jimbo la […]

Aucune image

Tchad : Plus de trois cents rebelles pouvaient être amnistiés dans ce .

1 décembre 2021 La Ronde Info 0
Aucune image

DRC- UGANDA: Operesheni za kukomesha wanamugambo wa ADF kwenyi DRC zimeanzishwa

1 décembre 2021 La Ronde Info 0

Nchi ya Uganda na DRC zimetangaza hii juma nne kuanzishwa kwa Operesheni ya pamoja kati ya DRC na nchi hiyo dhidi ya wanamugambo wa ADF […]

Articles récents

  • Sud Kivu : Les cadres et les militants du regroupement politique ADRP accueillent leur autorité morale François Masumbuko Rubota
  • Nord Kivu : Les cadres et les militants du regroupement politique ADRP accueillent leur autorité morale François Masumbuko Rubota
  • Nord Kivu : GERIA accompagne la CENI pour un aboutissement heureux du processus électoral ( Diogène Abely PATAULE)
  • Kivu ya kaskazini : Moïse Katumbi aahidi kuboresha maisha ya wakongomani mbele ya umati uliompokea kwa shangwe na vigelegele
  • Goma: Aux services de sécurité, de mettre la main sur ces inciviques qui abiment ou arrachent les affiches des autres candidats ( Joseph Kitaganya)

Commentaires récents

  • Kivu ya kaskazini : Mapigano imeanza mara tena kati ya waasi ya M23 na jeshi la taifa – LA RONDE INFO dans Kivu ya kusini : Zaidi ya miaka ishirini na tano, kiwanda cha sukari pa Kiliba kimeanza mara tena kutowa matunda
  • Dynamique Malembe dans Nyiragongo : Vijana wa Kiziba 2 waomba serkali kuwalindia usalama eneo hilo la jimbo la Kivu ya kaskazini
  • Redouta MWERESI ARUTA dans Goma: Vijana wasichana na wavulana wanafunzi washikwa katika vitendo haramu kwenyi kata Office
  • Jimmy dans Sud Kivu : Les Républicains de cette province accompagnent à sa dernière demeure l’un de leurs le Professeur Ordinaire Baluku Bajop
  • KAPAKO MUKALA dans RDC: Mathieu Batumike Mpinike salue le courage du Président du Malawi à révoquer les membres du cabinet souhaite ainsi au Chef de l’Etat congolais

Archives

  • décembre 2023
  • novembre 2023
  • octobre 2023
  • septembre 2023
  • août 2023
  • juillet 2023
  • juin 2023
  • mai 2023
  • avril 2023
  • mars 2023
  • février 2023
  • janvier 2023
  • décembre 2022
  • novembre 2022
  • octobre 2022
  • septembre 2022
  • août 2022
  • juillet 2022
  • juin 2022
  • mai 2022
  • avril 2022
  • mars 2022
  • février 2022
  • janvier 2022
  • décembre 2021
  • novembre 2021
  • octobre 2021
  • septembre 2021
  • août 2021
  • juillet 2021
  • juin 2021
  • mai 2021
  • avril 2021
  • novembre 2019

Catégories

  • Sécurité
  • Société
Copyright © 2023 LA RONDE INFO | Site d'informations en continue