DRC Uganda : Jeshi la Uganda likiunga mkono lile DRC lanena kutoondoka kwenyi ardhi hiyo kabla kukomesha wanamugambo ADF

Upande wa Uganda ambako Jeshi lasaidia lile la DRC katika Kukomesha ADF

Jeshi la Uganda laahidia kuondoka DRC litakapo komesha waasi wa ADF kwenyi udongo wa nchi hiyo.

Duru toka hapa na pâle zaeleza kuwa wanajeshi walivuka hadi Nobile wakiingia nchini DRC.

Mtu moja aliyeponea chupu chupu toka ngome la ADF anena kuwa waasi hawo waishi katika hali ya heka heka kwa sasa kutokana na shambulizi inayoendeshwa dhidi yao toka Jeshi la Uganda pamoja na lile la DRC.

Tukumbushe ni tangu siku kadhaa Jeshi la Uganda lilichukuwa hatua ya kuendesha shambulizi pamoja na Fardc dhidi ya waasi wa ADF kwenyi eneo la Kongo. Hii ni makubaliano kati ya ma Raisi Félix Antoine TSHISEKEDI wa DRC naye wa Uganda Yoweri Kaguta MUSEVENi ili kutekeleza amani mashariki mwa DRC.

Chumba cha wandishi

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire