Goma: Muungano wa kisiasa BUREC unaandaa kongamano kuhusu uchaguzi wa kamati ya uongozi mjini Bukavu

Prezidenti wa Muungano wa kisiasa BUREC nchini DRC

Akihojiwa na wandishi habari kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma , Prezidenti wa Muungano wa kisiasa BUREC anena kuja mjini Goma ili kuandaa kongamano ambayo uchaguzi wa kamati ya Muungano huo unaadaliwa.

Ni muda wa mji wa Bukavu kuandaa kongamano hiyo kwani imekwisha katika miji kadhaa nchini DRC mfano Goma, Kinshasa, Bunia, Kisangani.

Kutokana na siasa ya chama ni muda wa Bukavu kulingana na Muungano huo wa kisiasa.

Prezidenti anena kuwa ripoti Kadhaa kuhusu uongozi wa Muungano huo wa kisiasa zitatolewa. Kwa jumla washiriki kikao watagusia namna kazi zaendeshwa kwenyi Muungano.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire