Sénégal : Kikao kuhusu amani na usalama barani Afrika kyafanyika

Kumeanzishwa mjini Dakar mkutano mkuu ukijumwisha nchi za Afrika kuhusu amani na usalama. Hii ni kipindi cha saba tangu kuhairishwa kwa Kongamano hiyo kutokana na janga la Korona ulimwenguni. Mada za kikao zitahusu afya, usalama na uongozi.

Waandalizi wa kikao toka mji Dakar waonyesha kwamba bara la AFRIkA tayari lakumbwa na janga la Korona pamoja na hayo usalama kuzorota kiasi.

Hawa wanena kuwa ni katika lengo la kurudisha sura ya bara Afrika kwa jumla baada ya janga la Korona.

Duru huongeza kwamba inabidi kurudisha sura ya Afrika kiuchumi , kwa kushurtisha usalama kwenyi bara hilo ambayo itarahisisha uchumi na kijamii kwenyi nchi za Afrika.

Tufahamishe kwamba mada kadhaa zitagusiwa ndani ya kikao, yaani kupiganisha janga la Korona, shida kiusalama. Kutowa habari mbovu, afya, kilimo, uchunguzi kwenyi eneo za maji, uchunguzi kwenyi pembe za bara la Afrika.

Juvénal Murhula

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire