Katika matamshi yake Mratibu wa Chama Les républicains mashariki mwa DRC pia katibu makamu nchini wa chama hicho Mathieu BAtumike MPINIKE chama chake kina furaha kubwa kwa kuachiliwa huru kwa muda kwa kinara ndani ya siasa ya DRC Vital Kamerhe.
Kupitia Muungano huo wa kisiasa Mathieu BAtumike ashukuru korti husika na uamzi kwa kuachilia huru kwa muda mwanasiasa ambaye DRC nzima ina haja ndani ya siasa.
Korti ya uamzi imeonesha ulimwenguni kuwa imekomaa ki kazi aeleza mwana siasa Mathieu BAtumike MPINIKE.
Huyu asisitiza kwamba kulingana na kazi kubwa aliyoi tekeleza kisiasa nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, wakongomani wote popote walipo wapiga shangwe na vigelegele kwa kumuondowa korokoroni.
Kiongozi wa chama Les républicains ataja mfano wa kazi alizozifanya upande wake Prezidenti Léon Kengo wa Dondo wakipiganisha ili nchi isianguke mikononi mwa wavamazi na kazi zingine nyingi.
Juvénal Murhula
Korti kuu ya uamzi ina komaa kabi kwani haitegemee tena upande wowote,na shukrani za upekee zi mfikie rais Félix tshisekedi kwa ku kinga demokratia incini mwetu.