Marekani: Radi husababisha vifo vya watu na maafa mengine mengi

Habari toka Marekani ni kwamba radi imegonga nchini humo na kusababisha vifo vya watu zaidi ya mia moja katika eneo kadhaa. Na kwamba nyumba chache zimebaki na zingine nyingi kuteketea kwa moto.

Viongozi wa huko hunena kwamba maafa ni mengi . Wahanga walikuwa ndani ya kiwanda cha kutengeneza mishumaa kwa matayarisho ya sherehe za Christmas.

Timu za zarura zajaribu kuokowa walio nusurika ila si vyepesi. Radi iliendelea umbali wa kilomita mia tatu na ndio imesababisha maafa mengi.

Zaidi ya milio ya radi thelasini ilisikika mbeleni eneo tano zingine kusini mwa Marekani. Hali ya zarura yaripotiwa nafasi ambazo zimekumbwa na shida duru zaeleza.

Viongozi wa marekani waendelea kufwatilia hali hiyo kwa makini kwani milio ya radi pia yaarifiwa kwenyi eneo kadhaa mashariki mwa nchi. Serkali imenena kufanya yote iwezekanayo ili kuwahudumia wahanga wa ajali hiyo.

Chumba cha wandishi

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire