Bukavu : Ajali ya barabarani pa Mukukwe yapelekea vifo

Gari aina fuso iliyopinduka pa Mukukwe.

Habari toka mjini Bukavu ni kwamba ajali ya barabara imejitokeza hii juma tano tarehe 2 februari 2022 majira ya saa moja ya usiku.

David Cikuru wa shirika la raia aeleza kupitia mitandao ya kijamii kwamba ni watu wawili ndio wamefariki dunia hapo hapo

Duru zingine zafasiria kwamba ni gari aina fuso ndio ilipatwa shida ya kiufindi na kumgonga mwendesha pikipiki ambaye alifariki kwa rafla , pikipiki kuharibika na watu wawili kujeruhiwa vikali.

Wahanga hawa walipelekwa kwenyi hospitali ajili ya matibabu duru zaangazia. Kwa uhakikisho, ajali ilifanyika si mbali na kilabu cha pombe Mazembe kwenyi umbali wa mita ishirini na kituo ndogo cha polisi pa Mukukwe.

Chumba cha wandishi

de circulation sur le trançon Nyawera- Mukukwe. Un camion Fuso a connu une panne technique. Un motard meurt sur place, sa moto endomagée et 2 personnes grièvement blessées et transferées à l’hopital pour des soins. Le drame s’est passé au niveau du Nganda Mazembe à 20 m du Sous Sciat de Mukukwe ce Mercredi 2/2/202

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire