Kivu ya kusini : Shirika nyipya la raia NDSCI lalaumu hali mbovu ambamo waishi watoto wasio na umri jimboni

Shirika nyipya la raia NDSCI Kivu ya kusini laendelea kulaumu kuzurura kwa watoto wenyi chini ya umri kwenyi soko nyinyi na eneo kadhaa jimboni Kivu ya kusini.

Katika uchunguzi uliofanyika ndani ya soko jimboni humo , wanamemba wa shirika nyipya la raia wakuta kwamba watoto wenyi chini ya umri hutumikishwa , wamoja wakiuzisha sachets sokoni, wengine mukate na wengine akiomba barabarani.

Hawa wamekuta kwamba watoto wengine watumikishwa ndani ya nyumba za malaya.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire