Goma: Mwana muziki MOHOMBI afurahi kwa mcango wake katika ujenzi wa Amani ya Tamashi kuhusu Amani mjini humo

Akiwasili mjini Goma tarehe 3 februari 2022 mwana muziki MOHOMBI asema kushiriki kwenyi Tamasha kubwa ya muziki inayo andaliwa mjini Goma jimboni Kivu ya kaskazini ajili ya Amani.

Huyu alisema kushukuru mashabiki wake waliomuunga mkono alipokuwa jukwani wakati wa sherehe zilizodumu muda wa siku tatu. Mkutano huo ukiwajumwisha viongozi na watu wa tabaka mbali mbali, toka hapa na pale mjini, nchini na hata ugenini.

Pamoja na hayo, mwana muziki MOHOMBI anena kufurahi pia kwa kushiriki kwenyi Tamasha hiyo inayo husu ujenzi wa Amani.

Tufahamishe kwamba Tamasha ya muziki iliyopangwa kufanyika kwenyi shule Collège Mwanga ilihamishwa kwenyi jumba Ihusi pembezoni mwa ziwa Kivu pa Kituku. Na ilianza tangu tarehe 4 hadi tarehe 6 februari 2022.

Juvénal Murhula

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire