Goma: Vijana wasichana na wavulana wanafunzi washikwa katika vitendo haramu kwenyi kata Office

Mji wa Goma.

Watoto zaidi ya ishirini wamenaswa na vyombo vya ujasusi wakivuta sigara iitwayo SHISHA nafasi waitumiayo kwenyi kata Office mjini Goma.

Duru zilizoangazia wenzetu wandishi habari zanena kuwa vijana wavulana na wasichana wakivaa uniform hukimbia shule na kuingia katika kitendo hicho haramu, ambayo ni desturi kwa vijana hao.

Vijana hawo walinaswa na kufunga wenyezi jumba wakishutumiwa kuchochea kazi haramu ajili ya vijana kwa kuwasukuma kuacha shule .

Duru zingine zenyi kuaminika hunena kuwa vijana wengine walishikwa ndani ya jumba hilo wakifanya ngono.

Chumba cha wandishi

1 Comment

  1. Matumizi ya pombe, sigara, n’a mambo mengi yabkulevya vimesambaa zaidi sana maeneo za Kivu. Shida ni Serkali amboyo kweli huruhusu utengenezaji Wa vitu kama n’a hayo.Mini ni Redouta MWERESI kiongozi Wa Shirika ndogo la Raiya Katz Panzi Bukavu n’a Facilitera Wa CLODAC

Poster un Commentaire