BENIN: Magaidi wana Jihada wakiendesha vitendo vya ugaidi wateketezwa na Jeshi la ufransa

Mazingira nchini Bénin

Magaidi arubaini yaani wana Jihada walio husika na shambulizi hapa karibuni na kusababisha vifo vya watu tisa miongoni mwao mfransa moja kwenyi mbuga W waliweza kugongwa alhamisi kupitia ndege za anga zikiongozwa na jeshi toka Balkan nchini Ufransa.

Ndivyo lahakikisha tangazo kutoka uongozi mkuu wa kijeshi wa Ufransa.

« Kwa kugunduwa kinaganaga hawo ma Jihada kwenyi mbuga la kuhifazi wanyama W, askari jeshi wa Ufransa walituma ndege husika na upelelezi. Iliruhusu kugunduwa ma Jihada hawo alhamisi ambao walitokea Bénin na kujielekeza upande wa Burkina », duru toka nchi ya Bénin zashuhudia.

« Na kukumbusha kwamba asubui ya tarehe 9 na tarehe 10 februari 2022, ndege za kivita ziligonga upya mara tatu hadi kuteketeza zaidi ya magaidi thelasini », tangazo toka uongozi mkuu wa kijeshi wa Ufransa laendelea kuhakikisha.

Duru hiyo yaongeza kwamba shambulizi lililo endeshwa dhidi ya wana Jihada hao limeleta hofu kwa magaidi hawo ambao wasambazwa.

Ufransa ingiweza tamka kuhusu kuondowa askari jeshi wake huko Bénin, ila nchi hiyo inaweka mkazo kwa kusaidia nchi za Afrika, kwa upeke Pwani la Guinea.

Kiongozi mkuu wa kijeshi wa Ufransa amekumbusha na kusisitiza hayo wakati wa ziara juma nne huko Ivory Coast.

Chumba cha wandishi

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire