Wakaaji wa Rubaya wilayani Masisi na wapita njia wengine waomba serkali kujenga ulalo kwenyi mto Muhumba ambao ni hatari kubwa kwao.
Mtu moja aliponea chupu chupu kwa kutumbukia ndani ya ulalo huo wiki hii alipotaka kuvuka. Kwa kuwa mto huo ulikuwa tayari umejaa maji ya mvua.
Duru toka Rubaya zaeleza kwamba mhanga kwa jina la Bahigira Iranga aliokolewa kwa msaada ya watu wenyi nia nzuri. Hawa walitupa ndani ya mto na kumuondowa.
Huyu apewa tiba kwenyi kituo kimoja cha afia pa Rubaya tukiwa wilayani Masisi.
Chumba cha wandishi
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.