Akipatikana ziarani mjini Goma tangu hii alhamisi tarehe 23 februari Prezidenti makamu wa pili wa bunge la taifa Vital Muhini alinena kupongeza raia walio wengi waliokuja kumpokea miongoni mwao wafwasi wa chama chake AFDC.
Na kuwaomba waunge mkono juhudi zake Raisi wa taifa Félix Antoine TSHISEKEDI pamoja naye Prezidenti wa seneti Modeste Bahati Lukwebo, akiwa pia mwenyekiti wa chama AFDC.
Kuhusu usalama mdogo jimboni Kivu ya kaskazini, huyu anena kuunga mkono uongozi wa kijeshi akihitaji kazi ziendelee mbele. Kwa kuwa Raisi Félix Antoine TSHISEKEDI pamoja na bunge la taifa waendelea kupiganisha ili amani irudi mashiriki mwa nchi. Na kwamba inabidi mcango wa raia.
Mwanabunge Vital Muhini aliahidi ujenzi wa nchi nzima ambayo pia ni mpango wa Raisi wa taifa, akiongeza kuwa hali ni sambamba kisiasa nchini.
Baada ya hapo alikutana na wanamemba wa chama chake AFDC kwenyi shule la Collège, ambako alibadiri fikra
hi ambayo ni mpango.
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.