LA RONDE INFO

LA RONDE INFO

  • Accueil
  • Société
  • Politique
  • Social
  • Santé
  • Culture, Sport et Loisirs

Mois : mars 2022

Aucune image

Goma: Congo Peace Network monte au créneau par rapport aux affrontements intenses dans le Rutshuru avec les attaques du groupe armé M23 contre les positions des FARDC

31 mars 2022 La Ronde Info 0

Au gouvernement de la RDC, de prendre toutes les dispositions en collaboration avec les communautés humanitaires pour apporter l’assistance nécessaire aux populations civiles déplacées par […]

Aucune image

Kivu ya kusini/ Kabare : Mwanasheria Daniel Lwaboshi aona umuhimu wa maendeleo ya kudumu wilayani mwake

31 mars 2022 La Ronde Info 0

Shule kadhaa eneo la Luhihi wilayani Kabare zimepokea mabati kumi kila moja pamoja na saruji ajili ya ujenzi. Mwakilishi wa chama UNC Kivu ya kusini […]

Aucune image

Kivu ya kusini : Mwanasheria Daniel Lwaboshi akisindikizwa naye Pasta Tonde Kaheto wajihusisha na maendeleo wilayani Kabare

30 mars 2022 La Ronde Info 0

Mwakilishi wa chama UNC chake Vital Kamerhe jimboni Kivu ya kusini, Daniel Lwaboshi aendesha kazi za maendeleo wilayani Kabare. Ni tangu wiki iliyopita akisindikizwa naye […]

Aucune image

Maniema : uchaguzi wa liwali jimboni humo ni hapa karibuni

29 mars 2022 La Ronde Info 0

Akiwasili kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma hii juma nne tarehe 29 machi, liwali kwa muda jimboni Maniema Alfani Idrissa anena kuja mjini Goma ili […]

Goma: Romeo Materanya yupo ziarani mjini humo katika lengo la kazi

28 mars 2022 La Ronde Info 0

Bwana Romeo Materanya moja wa ma kada ya chama cha kisiasa AFDC chake Prezidenti wa seneti Modeste Bahati Lukwebo yuko ziarani mjini Goma Kivu ya […]

Aucune image

Nyiragongo : Raia wa vijiji Kiziba 1 na Bugamba1 waporwa pesa na vitu vyenyi samani kubwa

25 mars 2022 La Ronde Info 0

Dola mia tatu za marekani, televisheni, simu za mkononi na vifaa vingine vya nyumbani viliporwa na kundi ya wevi arubaini eneo la Munanira Kijiji Kiziba […]

Aucune image

Masisi : Raia waendelea kuwa wahanga wa utekaji nyara

24 mars 2022 La Ronde Info 0

Watu tatu waliteka nyara juma nne majuzi na watu wenyi kumiliki silaha wasiojulikana. Hayo yalifanyika kwenyi barabara Kitsanga Nyakabingu nafasi iitwayo Rugarama, eneo la Bashali […]

Aucune image

Bukavu :Un incendie cause d’énormes dégâts dans la commune de Bagira

23 mars 2022 La Ronde Info 0

Trois maisons parties en fumée sur avenue Mulambula premier dans le quartier Mulambula dans nuit du lundi au mardi 22 mars 2022 à 0 heure […]

Aucune image

Goma: Wanabunge wa taifa Hubert Furuguta pamoja naye Patrick Munyomo wafurahishwa na kazi za ujenzi wa barabara Kilijiwe

23 mars 2022 La Ronde Info 0

Wanabunge wa taifa Hubert Furuguta pamoja naye Patrick Munyomo wametembelea hii juma tano tarehe 23 machi kwenyi barabara Kilijiwe ili kujionea binafsi jisi kazi zaendeshwa […]

Aucune image

Nyiragongo : Uhaba wa maji safi waripotiwa wilayani humo

22 mars 2022 La Ronde Info 0

Maji safi ni shida kubwa katika vijiji yapata ishirini na nane wilayani Nyiragongo jimboni Kivu ya kaskazini. Alifahamisha hayo kwenyi vyombo vya habari vimoja vya […]

Aucune image

Goma: Raia watolewe silaha ili kujikinga kutokana na kuzorota kwa usalama kiasi nchini DRC ( Promesse Matofali)

22 mars 2022 La Ronde Info 0

Raia wapewe silaha nchini DRC kulingana na hali ya usalama yenyi kuzorota kila leo humo. Ni pendekezo la mwanabunge Promesse Matofali kwake Raisi wa DRC […]

Aucune image

Kivu ya kusini : Makanisa zaunga mkono liwali wa jimbo Théo Ngwabidje Kasi ili aendeshe vema miradi ya maendeleo

19 mars 2022 La Ronde Info 0

Habari toka chumba cha mawasiliano cha liwali wa jimbo zaeleza kwamba baada ya ujumbe wa arkiaskofu François Xavier Maroy kuhusu umoja na kuungana mkono, ni […]

Aucune image

RDC : Patrick Katengo Mafo aalika vijana kujihusisha kwa kupiganisha mabadiliko ya mazingira

19 mars 2022 La Ronde Info 0

Ajili ya siku kuu ulimwenguni ya kuinua mazingira, Prezidenti wa muungano wa vijana nchini DRC kwa maarufu balozi wa amani Patrick Katengo Mafo atoa ujumbe […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini : Raia wenyi kuishi kando ya mbuga la Wanyama la Virunga wapinga kuongeza udongo kwa eneo la shamba hilo

18 mars 2022 La Ronde Info 0

Watu wenyi kuishi kando ya mbuga la kuhifadhi wanyama la Virunga magaribi mwa ziwa Édouard kusini mwa mtaa wa Lubero waliandamana majuzi. Duru za mahali […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini : Vijana wa Véranda Mutsanga waahidia kusindikiza wanafunzi kupinga kupandishwa kwa pesa za kushiriki mtihani wa serkali Patient Rafiki akiangazia kuwa pesa hazikupandishwa

18 mars 2022 La Ronde Info 0

Vijana wa Muungano Véranda Mutsanga wasema kwamba wataunga mkono wanafunzi wa shule la sita la sekondari kuhusu kupandishwa kwa pesa ili kushiriki kwenyi mtihani wa […]

Aucune image

Goma: Mtoto Joas apatikana baada ya kutekwa nyara na jirani yake

18 mars 2022 La Ronde Info 0

Prezidenti wa shauri la vijana mtaani Karisimbi afurahi na kujihusisha kwa vyombo vya usalama, kwa kumpata mtoto Joas aliyetekwa nyara juma lililopita pa Ndosho. Prezidenti […]

Aucune image

Nord Kivu : Les consultations nationales ouvrent ses portes l’une des voies de sortie de l’insécurité qui gangrène l’Est de la RDC

18 mars 2022 La Ronde Info 0

La population du Nord Kivu est en droit de savoir que le Chef de l’État et le gouvernement sont déterminés non seulement à tourner la […]

Aucune image

Lubero : Kiongozi wa Kyambene mtaa wa asili wa Kirumba afariki dunia kwa kujitundika

18 mars 2022 La Ronde Info 0

Kiongozi wa eneo Kyambene katani Makasi mtaa wa asili wa Kirumba alifariki dunia kwa kujitundika. Hayo yalifanyika munamo usiku wa juma nne kuamkia juma tano […]

Aucune image

Masisi : Wazaliwa wa wilaya hiyo walikutana ana kwa ana ili kujenga amani makwao

14 mars 2022 La Ronde Info 0

Kuonyesha matendo yenyi kuchochea amani pamoja na kuunda kamati ya ufwatiliaji wa hatua zilizochukuliwa. Ni miongoni mwa hatua zilizochukuliwa wakati wa mazungumzo muda wa siku […]

Aucune image

Masisi: Msichana mwenyi umri wa miaka kumi na saba atekwa nyara

14 mars 2022 La Ronde Info 0

Majambazi wenyi kumiliki silaha waliteka nyara msichana mwenyi umri wa miaka kumi na saba munamo usiku wa juma mosi kuamkia juma pili tarehe 13 machi […]

Aucune image

Ituri: Dix mois de l’état de siège l’insécurité traîne encore l’Assemblée nationale et le gouvernement devront fournir beaucoup d’efforts

14 mars 2022 La Ronde Info 0

Pour moi depuis un certain moment, je requalifie ma communication, je ne communique pas sur le départ de x, y, je communique sur le renforcement […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini/ Lubero: Wakaazi wa Kirumba na Kayna wasumbuka kwa kupanda beyi kwa nyanya (tomates)

12 mars 2022 La Ronde Info 0

Wakaazi wa Kirumba na Kayna wilayani Lubero wasumbuka kuhusu kupanda beyi kwa nyanya eneo hilo. Mfungo wa nyanya ambao uliuzwa franka 200 za Kongo kwa […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini : Akina mama mja mzito atekwa nyara wilayani Masisi

12 mars 2022 La Ronde Info 0

Akina mama mja mzito ametekwa nyara munamo usiku wa alhamisi kuamkia ijumaa tarehe 11 machi pa Kimoka eneo la Kamuronza wilayani Masisi. Duru za mahali […]

Aucune image

Akiwa ziarani mjini Uvira jimboni Kivu ya kusini mratibu anahusika na mpango wa kuwapokonya silaha makundi ya wapiganaji nchini DRC Tomy Tambwe na wakilishi wa makundi arubaini wakija kujisalimisha.

12 mars 2022 La Ronde Info 0

Moja wa wakilishi wa kundi mai mai PCP likiendesha kazi wilayani Uvira, Fizi na Mwenga amependekeza kukarabati vilalo vilivyo jengwa hapo awali. Akisisitiza kwamba serkali […]

Aucune image

Kivu ya kusini :Tomy Tambwe aomba wapiganaji mai mai kujisalimisha ili kujenga amani

12 mars 2022 La Ronde Info 0

Tomy Tambwe mratibu husika na kupokonya silaha makundi ya wapiganaji nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo amekutana na wakilishi wa makundi arubaini ya wapiganaji mai […]

Aucune image

Goma: Le Secrétaire Général du RENOVAC Le Professeur Docteur Romain Mavudila Congo séjourné à Goma

10 mars 2022 La Ronde Info 0

Le secrétaire Général du Regroupement des Novateurs du Congo RENOVAC en sigle Le Professeur Docteur Romain Mavudila Congo vient à Goma pour rendre visite à […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini : Mjadala wa vijana waanzishwa ili kutafuta suluhu kwa shida zao( Nathan Atibu)

10 mars 2022 La Ronde Info 0

Prezidenti makamu wa kwanza wa shauri la vijana nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Nathan Atibu yupo ziarani mjini Goma. Huyu akuja kushiriki kwa mjadala […]

Aucune image

Bukavu: La journée internationale de la femme célébrée dans l’allégresse.

9 mars 2022 La Ronde Info 0

La journée internationale de la femme a été célébrée ce 08 mars 2022 à ciriri KASHA dans plusieurs écoles. Les membres de la FONDATION MAENDELEO […]

Aucune image

Goma: Akina mama moja mvunja noti afyatuliwa risasi na jambazi wenyi kushikilia silaha

9 mars 2022 La Ronde Info 0

Mwanamke moja mvunja noti amefyatuliwa risasi jioni ya juma tatu tarehe 7 machi 2022 na jambazi wenyi kumiliki silaha wakitembea kwa pikipiki. Ilikuwa majira ya […]

Aucune image

Nyiragongo : Mwili usio na uhai wa mtu wa miaka takriban kati ya ishirini na tisa na thelasini waogotwa

9 mars 2022 La Ronde Info 0

Mwili usio na uhai wakutwa asubui ya juma nne tarehe 8 machi kwenyi kijiji Ngangi ya kwanza eneo la Munigi wilayani Nyiragongo Kivu ya kaskazini. […]

Aucune image

Goma: Le député national Eliezer Ntambwe Mposhi compatit avec la population

9 mars 2022 La Ronde Info 0

Le député national Eliezer Ntambwe sejoune depuis ce mardi 8 mars 2022 à Goma. Il est venu compatir avec la population victime de l’éruption volcanique […]

Aucune image

Bukavu : Shirika Fondation Maendeleo Kasha kwa ushirikiano na mashirika kadhaa za kutetea haki ya binaadam za mahali wakijufunza mbinu ili kuteketeza maendeleo pa Kasha

8 mars 2022 La Ronde Info 0

Kupiga marufuko kazi za kutengeneza pombe za kulevya yaani kanyanga, Mumberege, kafanya mbio, kuzidisha vikosi vya polisi pa Kasha, kuweka taa ndani ya kata zote […]

Aucune image

Nyiragongo : Wakaazi wenyi hasira wachoma mtu anayezaniwa mwizi pa Ngangi1

8 mars 2022 La Ronde Info 0

Mtu moja anayezaniwa mwizi alichomwa moto munamo usiku wa juma pili kuamkia juma tatu tarehe 7 machi kwenyi kijiji Ngangi ya kwanza eneo la Munigi […]

Aucune image

Sud Kivu : Hausse des prix des denrées alimentaires la NDSCI hausse le ton

7 mars 2022 La Ronde Info 0

La Nouvelle Dynamique de la Société Civile du Sud Kivu NDSCI en sigle dénonce la hausse des prix des denrées alimentaires dans plusieurs marchés de […]

Aucune image

Lubero: Mtu moja kufariki dunia kutokana na kutumia mvinyo mno bila kula

6 mars 2022 La Ronde Info 0

Mtu moja ameaga dunia nyumbani kwake kutokana na njaa hii juma mosi tarehe 5 machi kwenyi kata Muhangi kijiji Kikuvo, umbali kilomita kumi na mtaa […]

Aucune image

Goma: Maguy Rwakabuba afanya utetezi kila leo bungeni kuhusu usalama mdogo mashariki mwa DRC hususan Kivu ya kaskazini

6 mars 2022 La Ronde Info 0

Tunafanya utetezi siku kwa siku kuhusu usalama mdogo jimboni Kivu ya kaskazini. Napatikana ndani ya kamisheni husika na ulinzi pia usalama bungeni. Hii ni matamshi […]

Aucune image

Goma: Mwanabunge Désiré Katembo azani kwamba inabidi mawazo mapya kuhusu uongozi wa kijeshi ambao muda imepita

6 mars 2022 La Ronde Info 0

Mwanabunge wa taifa mcaguliwa wa Rutsburu Désiré Katembo amewasili hii juma pili tarehe 6 machi mjini Goma toka mjini mkuu Kinshasa. Kwenyi uwanja wa ndege […]

Aucune image

Goma: Pius Kandolo du parti politique ACP est porteur du message de paix du Chef de l’Etat Félix Antoine TSHISEKEDI TSHILOMBO

6 mars 2022 La Ronde Info 0

On doit apporter le message du Chef de l’Etat, celui de la paix et c’est l’objectif même de l’Union sacrée. Propos du Secrétariat Général Adjoint […]

Aucune image

Bukavu : Evariste Manegabe Ntaitunda arudishwa madarakani kwenyi uongozi wa mtaa wa Ibanda

5 mars 2022 La Ronde Info 0

Baada ya miezi munane kusimamishwa kazi, kiongozi kwa muda wa mtaa wa Ibanda mjini Bukavu Evariste Manegabe Ntaitunda amerudishwa madarakani. Hatua iliyochukuliwa kisheria ya barua […]

Aucune image

Bukavu : Mwili usio na uhai wa mtoto msichana wagunduliwa kwenyi mto Ruzizi

5 mars 2022 La Ronde Info 0

Mwili wa mtoto mcanga usio na uhai ulikutwa ukipeperuka juu ya maji ya mto Ruzizi hii ijumaa tarehe 4 machi 2022, eneo la Kazaroho/ Ruzizi […]

Aucune image

Kivu ya kusini : Liwali wa jimbo Théo Ngwabidje Kasi achunguza kazi za ujenzi wa barabara Industriel na Gyamba

4 mars 2022 La Ronde Info 0

Siku chache baada ya kuwasili mjini Bukavu, liwali wa jimbo THEO NGABIDJE KASI alitembelea nafasi kadhaa kunako fanyika ujenzi wa barabara jimboni Kivu ya kusini. […]

Aucune image

Rutshuru : Mwendesha pikipiki moja ameuwawa pa Kaseguru

4 mars 2022 La Ronde Info 0

Mwendesha pikipiki moja ameuliwa munamo usiku wa juma tano kuamkia alhamisi tarehe 3 machi 2022 pa Kaseguru kwenyi barabara Kiwanja Ishasha, eneo la Binza wilayani […]

Aucune image

Nyiragongo : Nyumba saba kuporwa na jambazi muda saa arubaini na nane pa Munigi

3 mars 2022 La Ronde Info 0

Nyumba saba zimeporwa na watu wenyi kumiliki silaha ndani ya Kijiji Turunga eneo la Munigi wilayani Nyiragongo, Kivu ya kaskazini. Shirika la raia la mahali […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini : Idara ya afya jimboni humo yatoa mwanga kuhusu matokeo ya ugonjwa wa corona

3 mars 2022 La Ronde Info 0

Idara ya afya jimboni Kivu ya kaskazini yatoa ripoti kamili kuhusu hali ya virusi vya korona tangu mwanzoni mwa janga. Kutokana na jarida lake nambari […]

Aucune image

Rutshuru : Raia wakosa makao pa Buramba nyumba zikichomwa moto na wevi wenyi kushikilia silaha

2 mars 2022 La Ronde Info 0

Watu wenyi kumiliki silaha walishambulia Kijiji Buramba wilayani Rutshuru jimboni Kivu ya kaskazini.Duru toka huko zanena kwamba watenda maovu hawo walichoma moto nyumba takriban kumi […]

Aucune image

DRC/ Yunivasti: Muungano wa ma Profesa wasitisha mgomo baada ya mazungumzo na serkali

2 mars 2022 La Ronde Info 0

Muungano wa ma Profesa wa Yunivasti nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo umekubali kusitisha mgomo juma nne tarehe mosi machi baada ya kazi za uchunguzi […]

Aucune image

Sud Kivu : Appel à la journée ville morte pierre d’achoppement entre la société civile forces vives et le gouvernement provincial

1 mars 2022 La Ronde Info 0

L’appel à la journée ville morte dans la province du Sud Kivu pour s’opposer à la gouvernance de Théo Ngwabidje KASI et exiger sa démission […]

Aucune image

Bukavu : un cas de kidnapping à Kanoshe quartier Kasha en commune de Bagira

1 mars 2022 La Ronde Info 0

Un cas de kidnapping d’un jeune de Kanoshel, porté disparu depuis samedi . La victime s’appelle Benoît. Le boureaux exigent une somme importante d’argent pour […]

Aucune image

Nord Kivu : Claude Simpeze est le nouveau coordonnateur provincial de l’Union Sacrée pour la Nation au Nord Kivu en remplacement de Patrick Bala

1 mars 2022 La Ronde Info 0

Désormais Jean Claude Simpeze prend le bateau de commande de la coordination provinciale de l’Union Sacrée pour la Nation en province du Nord Kivu. Il […]

Articles récents

  • Sud Kivu : Les cadres et les militants du regroupement politique ADRP accueillent leur autorité morale François Masumbuko Rubota
  • Nord Kivu : Les cadres et les militants du regroupement politique ADRP accueillent leur autorité morale François Masumbuko Rubota
  • Nord Kivu : GERIA accompagne la CENI pour un aboutissement heureux du processus électoral ( Diogène Abely PATAULE)
  • Kivu ya kaskazini : Moïse Katumbi aahidi kuboresha maisha ya wakongomani mbele ya umati uliompokea kwa shangwe na vigelegele
  • Goma: Aux services de sécurité, de mettre la main sur ces inciviques qui abiment ou arrachent les affiches des autres candidats ( Joseph Kitaganya)

Commentaires récents

  • Kivu ya kaskazini : Mapigano imeanza mara tena kati ya waasi ya M23 na jeshi la taifa – LA RONDE INFO dans Kivu ya kusini : Zaidi ya miaka ishirini na tano, kiwanda cha sukari pa Kiliba kimeanza mara tena kutowa matunda
  • Dynamique Malembe dans Nyiragongo : Vijana wa Kiziba 2 waomba serkali kuwalindia usalama eneo hilo la jimbo la Kivu ya kaskazini
  • Redouta MWERESI ARUTA dans Goma: Vijana wasichana na wavulana wanafunzi washikwa katika vitendo haramu kwenyi kata Office
  • Jimmy dans Sud Kivu : Les Républicains de cette province accompagnent à sa dernière demeure l’un de leurs le Professeur Ordinaire Baluku Bajop
  • KAPAKO MUKALA dans RDC: Mathieu Batumike Mpinike salue le courage du Président du Malawi à révoquer les membres du cabinet souhaite ainsi au Chef de l’Etat congolais

Archives

  • décembre 2023
  • novembre 2023
  • octobre 2023
  • septembre 2023
  • août 2023
  • juillet 2023
  • juin 2023
  • mai 2023
  • avril 2023
  • mars 2023
  • février 2023
  • janvier 2023
  • décembre 2022
  • novembre 2022
  • octobre 2022
  • septembre 2022
  • août 2022
  • juillet 2022
  • juin 2022
  • mai 2022
  • avril 2022
  • mars 2022
  • février 2022
  • janvier 2022
  • décembre 2021
  • novembre 2021
  • octobre 2021
  • septembre 2021
  • août 2021
  • juillet 2021
  • juin 2021
  • mai 2021
  • avril 2021
  • novembre 2019

Catégories

  • Sécurité
  • Société
Copyright © 2023 LA RONDE INFO | Site d'informations en continue