Akiwa ziarani mjini Uvira jimboni Kivu ya kusini mratibu anahusika na mpango wa kuwapokonya silaha makundi ya wapiganaji nchini DRC Tomy Tambwe na wakilishi wa makundi arubaini wakija kujisalimisha.

Moja wa wakilishi wa kundi mai mai PCP likiendesha kazi wilayani Uvira, Fizi na Mwenga amependekeza kukarabati vilalo vilivyo jengwa hapo awali. Akisisitiza kwamba serkali imeshindwa.

Tunakuja kwambia serkali kama sisi tunataka amani. Tunalenga amani ila serkali hapendi.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire