Goma: Romeo Materanya yupo ziarani mjini humo katika lengo la kazi

Bwana Romeo Materanya moja wa ma kada ya chama cha kisiasa AFDC chake Prezidenti wa seneti Modeste Bahati Lukwebo yuko ziarani mjini Goma Kivu ya kaskazini.  Alipokelewa katika hali ya shamra shamra na wapendwa wake mjini Goma.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire