DRC: Hatua zaendelea kuchukuliwa kati ya DRC na Uganda ili kutekeleza amani huku na kule

Bendera la Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.

Hatua mara tena imetoka chukuliwa kati ya jeshi la taifa FARDC na lile la Uganda UPDF ili kugonga adui yeyote mwenyi kutaka kukwamisha usalama wa nchi hizo mbili mfano wa Kivu ya kaskazini na Ituri.

Ni kusudio lililofanyika wakati wa kikao kati nchi hizo mbili kilichokomeshwa katika lengo la kucunguza kazi zinazoendeshwa na majeshi ya nchi zenyewe.

Kutokana na duru zetu, kikao hicho kilihitimishwa juma nne kikikutanisha viongozi wa tabaka za juu za kijeshi. DRC ikiakilishwa naye Jenerali Célestin Mbalamusense, alafu Uganda naye Jenerali Wilson Mbasu Mbandi.

Washiriki kikao waligusia kuhusu mambo yaliyofaulu na yasiyofaulu. Kwake Jenerali Célestin wa jeshi la DRC, hiyo ni fundisho ili kujuwa kipi kifanyike ili mara moja kukomesha usalama mdogo mashariki mwa DRC.

Bendera la Uganda.a

Jenerali Wilson Mbasu Mbandi wa Uganda alinena kufurarishwa na operesheni hizo za pamoja ili kuwagonga ma ADF na hata waasi wa M23, ni namna moja wapo ya kukinga kazi za ujenzi wa barabara Kasindi hadi Goma.

Tufahamishe kwamba matokeo mengine yanangojewa ni heshima zitakazotolewa kwa maraisi wa nchi hizo mbili, na raia waone kutekelezwa kwa maendeleo.

Issa Lubiri.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire