Raisi wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Félix Antoine TSHISEKEDI TSHILOMBO anena kujihusisha na huduma ki mafunzo ya wanachuo wakongomani waishio nchini Ukreno mahali walipo.
Akihojiwa na wenzetu wa Redio Okapi, moja wa wanachuo hawo wahanga wa vita kati ya Urusi na Ukreno kwa jina la Serge Nyangi, aomba raisi wa DRC kuweka mkazo kwa bajeti na vifaa kwenyi ma balozi hususan hiyo ya Rumania ambako wanachuo wengi walipokelewa.
Tufahamishe kwamba vita kati ya Urusi na Ukreno ni tangu miezi kadhaa na kusababisha vifo maelfu , wakongomani wakiishi pia huko Ukreno nchi inayoendelea kuteketea toka kombora zenyi kurushwa na Urusi.
Issa Lubiri.
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.