DRC : Serge Didier Bapaga ndiye balozi kwa sasa nchini Zambia

Raisi wa DRC Félix Antoine TSHISEKEDI TSHILOMBO amtaja Serge Didier Bapaga kama balozi

Bwana Serge Didier Bapaga ndiye kwa sasa balozi mpya anayewakilisha kinaganaga Jamhuri ya kidemokrasia ya uchaguzi nchini Zambia.

Huyu alitangazwa kisheria naye Raisi wa DRC Félix Antoine TSHISEKEDI TSHILOMBO, kupitia kibarua cha tarehe 15 aprili 2022 mstari nambari 75- 443 ya tarehe 16 novemba 1978 inayotaja matumikio kidiplomasia kwa wanainchi wote wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.

Kibarua hicho chafahamisha kwamba balozi huyo atapata haki zote zinazofahamika kwa mabalozi wote wenyi kuakilisha Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo huko ugenini.

Chumba cha wandishi.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire