Masisi: Mwili wa kitoto kisichoeneza miezi ya kuzaliwa umetupwa pa Sake

Mwili wa kitoto kisichoeneza miezi ya kuzaliwa umetupwa juma mosi tarehe 16 aprili saa tatu ndani ya mto Kihara pa Sake eneo la Kamuronza.

Duru za mahali zaeleza kwamba mwili huo karibu za aà

 » Tunalaumu kitendo hicho na tunaahidi kwamba juhudi zitafanyika ili kugunduwa mhusika na kitendo hicho haramu, anena Kiongozi wa kata Kaduki Stade Heshima Kaboy Thomas.

Tufahamishe kwamba vitendo vya aina hiyo ni chungu tele eneo hilo ambako miili isiyo na uhai pamoja na ya watoto wasioeneza miezi ya kuzaliwa yaonekana kutupwa, ijapo watenda maovu hawajulikane.

Juvénal Murhula

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire