Bukavu : Shirika ndogo la raia katani Panzi laendelea kuomba viongozi kuzidisha mbinu ili kupiganisha kujilipishia kisasi na utekaji nyara

Nyumba ambamo wevi walikuwa wakijaribu kuiba.

Habari toka Prezidenti wa Shirika hilo, Redouta Mweresi zaeleza kujilipishia kisasi kwa raia wa huko. Hapa karibuni kijana moja kwa jina la Aganze Shengenge aliondolewa maisha na wakaaji akijaribu kuiba ndani ya mama moja kwa jina la mama Ciza.

Wakati wa vuta ni kuvute kati ya mama na jangili, huyu alifaulu kumchoma mama kisu .Mama huyo kulalamika na ndipo wakaaji kuja na kuuwa jangili. Wakati huo

Shirika la raia kupitia Redouta Mweresi lasisitiza pia kuhusu utekaji nyara siku eneo hilo. Msichana kwa jina la Asifiwe mwanachuo kwenyi ISTMA alipelekwa mahali pasipo julikana, Akiachiliwa baadae upande wa Gyamba , pasipo kufahamu ma6hali alikuwa amepelekwa.

Ijapo kufika kwa viongozi husika na usalama mjini Bukavu eneo hilo la msiba na kuhamasisha raia kuacha tabia ya kujilipishia kisasi, Shirika la raia la Panzi laweka mkazo kwa viongozi kujihusisha ili usalama mdogo ikome.

Juvénal Murhula.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire