Goma: Liwali wa Jimbo la Kivu ya kaskazini Constant Kogba arudi mjini Goma baada ya kushiriki kwenyi semina ya mafunzo mjini Kinshasa.

Liwali wa Jimbo la Kivu ya kaskazini Constant Ndima Kogba arudi hii ijumaa tarehe 20 mei njini Goma, baada ya kushiriki kwenyi semina ya mafunzo mjini Kinshasa. Kazi iliyoandaliwa na wizara ya ulinzi ndani ya mji mkuu wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.

Huyu arena kwamba semina ilikuwa na mada:  » Shurti na mwenendo ajili ya wanajeshi wa taifa ».

Constant Ndima aongeza kwamba walishiriki kinaganaga kwenyi mafunzo, pamoja n’a hayo kuunda vikundi kadhaa, na kutoa pendekezo zitakazo pelekwa Kwa uongozi wa kijeshi na hata kwa serkali ya DRC. Akiendelea kwamba pendekezo hizo zitatolewa pia Kwa viongozi wa kijeshi wenyi kusimamia kundi kubwa kubwa, ili kuzitekeleza.

Tufahamishe kwamba Liwali wa jimbo alipokelewa kwa shamra shamra na vikosi vya jeshi jimboni Kivu ya kaskazini kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma.

Juvénal Murhula.

A

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire