- Akihojiwa na wandishi habari wilayani Nyiragongo, Kiongozi wa Kijiji RUKOKO Ndambi Kanuma Riphin eneo la Munigi, usultani wa Bukumu anena kuwa hali ni shwari kwenyi eneo analo liomgoza. Ila mengi inabaki kufanya upande wa viongozi, kwani askari polisi watumika katika hali mbovu, yaani ukosefu wa vifaa na hats chakula.
« Tunaomba viongozi wa taïfa, wa jimbo na hats wa wilaya kuangalia namna ya kupatia askari polisi vifaa vya Kazi, Kwa kuwa idadi yao mi nyingi kuliko silaha za kazi. Wapewe pia chakula ili kurahisishia kufanya kazi vilivyo na kutekeleza amani kwenyi kijiji RUKOKO. Akiongeza kwamba shida ya usalama mdogo imepunguka kama ilivyo mbeleni.
« Hiyo ni kutokana na utetezi , kupitia ripoti kadhaa. Ndipo uongozi wa polisi pa Nyiragongo uliruhusu ofisi mdogo ya askari polisi eneo eneo la RUKOKO. Askari polisi hawa wapiganisha usiku kama mcana. Waendesha hâta Doria il kuwafukuza wote wanaotaka kukwamisha usalama eneo hili, mfano wa kundi arubaimi yaani 40 voleurs, aeleza Kiongozi. Akiomba raia kuendelea kuunga mkono askari jeshi hawa , wakitowa mahali adui anaendelea kufichama ili kuwagumduwa na kuwazibu.
Kuhusu maendeleo ya Kijiji, Ndambi Kanuma asema ukosefu wa pesa na vifaa ili kazi ziboreshwe. Akishukuru raia Kwa mcango wao ili kutekeleza kazi za salongo na kadhalika. Mengi tutawafahamisha ndani ya habari punde si punde.
Juvénal Murhula.
De
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.