Goma : Liwali makamu wa jimbo la Kivu ya kaskazini Ekuka Lipopo aanzisha rasmi kampeni ya ugawanyaji wa chandarua yenyi dawa kwa bure

Sherehe ilifanyika mbele ya uwanja  wa kandanda   » stade de l’unité », wakiweko viongozi wengi washirika wa serkali ya DRC.Miongoni mwao viongozi wa k azi za serkali, wa kanisa na hâta wakaazi lwengi wa mji wa Goma.


Kugawanya chandarua yenyi dawa inatokana n’a ripoti ya sasa  kuhusu kuongezeka kwa visa vya maleria Katika eneo nyingi jimboni Kivu ya kaskazini.

Wakati wa kampeni hiyo, milioni tano mia tisa sabini n’a tatu elfu na kumi n’a nne 5 973 014 ndizo chandarua zitagawanywa kwa jamaa milioni moja mia nane hamsini n’a nne elfu , mia moja themanini n’a tisa yaani 1 854 mille 189 kote jimboni Kivu ya kaskazini.

Dur u kutoka idara ya afya hunena kwamba wakilishi wa raia pamoja n’a wagawanyaji wengine watapita mlango kwa mlango  kugawa chandarua hiyo yenyi dawa.

Juvénal Murhula.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire