Kivu ya kaskazini : Vikosi vya MONUSCO vilivyo fyatuwa risasi dhidi ya raia na kusababisha vifo na majeraha mipakani Kasindi , vimewekwa vizuizini.
Katika tangazo lake hii juma pili tarehe 31 julai 2022, mwakilishi maalum wa katibu mkuu wa Umoja wa kimataifa Bi Bintou Keita asema kuwa na […]