Akipokelewa na umati kwenyi uwanja wa ndege hii juma mosi tarehe 9 julai, Martin anena kuja ajili ya kongamano yao ya pili itakayoanza tarehe 11 hadi tarehe 13 julai 2022.
Duru zetu toka Kisangani zanena kwamba Martin Fayulu akipokelewa katika hali ya shangwe na vigelegele, Prezidenti wa ECIDE alisindikizwa na umati kilomita 17 tangu uwanja wa ndege hadi mjini. Kwenyi ofisi ya Posta ambako alingojewa kuhotubia raia, vizuizi viliwekwa barabarani ili kumsikiliza Kiongozi huyo wa kisiasa, alama ya upendo.
Raia walio wengi wakiimba nyimbo za kuonyesha upendo kiasi kwa kiongozi huyo mkongomani. Na kuongeza kwamba macho yote ni kwenyi tume huru ya uchaguzi mwaka 2023, ili kupinga wizi, hata kama ulifanyika mwaka 2018.
Président wa Muungano wa kisiasa ECIDE Martin Fayulu alishukuru raia kwa mapokezi makubwa, alama ya mapendo. Kwa kuwa waliacha shuguli zao na kuja kumlaki. Martin Fayulu aliomba raïa kujiorodhesha, ili kutayarisha ushindi kuhusu uchaguzi mwaka 2023, namna kupiganisha wizi aliotendewa mwaka 2018 iliyopita, kama alivyo eleza.
Chumba cha wandishi
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.