Duru toka ikulu ya liwali wa jimbo la Kivu ya kusini, ni kuanzishwa kwa kurabati barabara Industriel mjini Bukavu. Kazi zenyi kujengwa na shirika OVD, akijihusisha kinaganaga liwali wa jimbo la Kivu ya kusini Théo Ngwabidje Kasi. Namna ya kutekeleza mpango wake Raisi wa DRC Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo.
Udongo wa kwanza uliwekwa ndani ya barabara hii juma pili tarehe 10 julai 2022, mbele ya kuweka kabulimbu juma hii.
Duru hizo toka ofisi ya mawasiliano ya liwali zaeleza kwamba, raïa wa jimbo la Kivu ya kusini kwa jumla na wa mji ya Bukavu kwa peke, wafurahi na hatua hiyo ya liwali. Wakifikiri kwamba, matendo hayo ni njia moja wapo ya kutekeleza maendeleo jimboni Kivu ya kusini,
Chumba cha wandishi
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.