Masisi : Kiongozi wa jela aomba serkali kuhudumia wafungwa ki malisho

Senta ya Masisi.

Kiongozi wa jela la Masisi alinena hii alhamisi tarehe 14 hali mbaya ambamo waishi wafungwa ndani ya jela wilayani humo. Akitaja ukosefu wa chakula pamoja na magonjwa mengine, ambavyo vyaweza sababisha vifo.

Kiongozi huyo kwa jina la Muhindo Fidèle aomba serkali kufanya yote iwezekanayo ili kuokowa maisha ya wafungwa ndani ya jela.

Muhindo Fidèle aomba Administrera wa wilaya hiyo kutembelea vituo vya afya, mbavyo vitahusika na afya ya wafungwa hawo, ki malisho na kwa magonjwa mengine.

 » Tunaomba serkali kuhudumia wafungwa hawa, ili kuepuka vifo ndani ya jela, kulingana na hali mbovu ambamo wafungwa waishi« , aeleza Muhindo Fidèle husika na jela pa Masisi, jimboni Kivu ya kaskazini.

Chumba cha wandishi.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire