LA RONDE INFO

LA RONDE INFO

  • Accueil
  • Société
  • Politique
  • Social
  • Santé
  • Culture, Sport et Loisirs

Mois : août 2022

Aucune image

Nord Kivu : Le ministre de l’Enseignement Supérieur et Universitaire Muhindo Nzangi inspecte les institutions sous sa tutelle

30 août 2022 La Ronde Info 0

À sa descente d’avion à l’aéroport de Goma, le ministre de l’Enseignement Supérieur et Universitaire Muhindo Nzangi Butondo dit venir en province dans le cadre […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini/ Béni: Raia 17 wauliwa munamo Siku tatu

30 août 2022 La Ronde Info 0

Watu 17 wamepoteza maisha kutokana na shambulizi la wanamugambo ADF, katika vijiji vya MUTEU SIRO na BEU MANYAMA wilayani jimboni Kivu ya kaskazini. Mauaji hayo […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini : Bwana Jean Bosco Kaboy Bwivu atowa pole kwa raia jimboni humo kuhusu maafa ya vita, inayosababishwa na magaidi wa M23

30 août 2022 La Ronde Info 0

Prezidenti wa chama cha kisiasa ADES Jean Bosco Kaboy Bwivu apatikana ziarani jimboni Kivu ya kaskazini na kusini, tangu majuzi akitoka mjini Kinshasa. Alifahamisha kwamba […]

Aucune image

DRC/ michezo: Timu la Léopard lapinga kucheza mechi ya marudilio na nchi ya Tchad

28 août 2022 La Ronde Info 0

Timu Léopard la Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo lapinga kucheza mechi ya marudilio na nchi ya Tchad. Mechi ya mwanzo inapangwa tarehe 28 Agosti 2022, […]

Aucune image

Goma : Ambatobe Nyongolo encourage les FARDC se trouvant sur le champ de combat, au gouvernement de collaborer avec la Monusco,au besoin trouver des solutions aux problèmes imposés par le Rwanda

27 août 2022 La Ronde Info 0

« Nous devons évaluer s’il faudra continuer avec la Monusco. Cette collaboration, à quoi elle va nous amener. S’il faut réellement demander à la Monusco de […]

Aucune image

RDC: Umoja wa Ulaya unachukuwa hatua ya kusindikiza DRC ndani ya kazi za madini

27 août 2022 La Ronde Info 0

Waziri husika na mambo ya madini Antoinette Nsamba amepokea hii alhamisi tarehe 25 Agosti, balozi wa Umoja wa Ulaya Bwana Jean Marc Châtaigner. Katika mazungumzo, […]

Aucune image

Goma: Mtu moja auliwa kwa kupigwa risasi

27 août 2022 La Ronde Info 0

Mtu moja mvunja noti ameuliwa hii juma mosi tarehe 27 Agosti 2022 kwenyi kata Kyeshero mtaani Goma, jimboni Kivu ya kaskazini. Kutokana na Prezidenti wa […]

Aucune image

Kivu ya kusini : Watu tano wapoteza maisha katika ajali ya moto mjini Bukavu

27 août 2022 La Ronde Info 0

Watu tano wakiwa wa jamaa moja wamepoteza maisha katika ajali ya moto kwenyi kata Kajangu, mtaani Kadutu mjini Bukavu jimboni Kivu ya kusini. Duru zetu […]

Aucune image

Goma :Balamage Nkolo en vacances parlementaires, l’Union sacrée a failli, au peuple de tirer les conséquences

26 août 2022 La Ronde Info 0

Je suis venu en vacances parlementaires. À la rencontre de notre base de l’Est, du Nord , du Sud Kivu et du Maniema. Pour partager […]

Aucune image

Goma: Pourquoi personne n’a été condamnée ni inquiétée quant à l’évasion de 800 détenus de la prison centrale de Kankwangura?

24 août 2022 La Ronde Info 0

Jeannette Mapera député nationale, demande qu’une enquête sérieuse soit diligentée, afin de dénicher l’auteur de l’évasion de 800 détenus à la prison centrale de Kankwangura, […]

Aucune image

RDC : Amato Bayubasire présente son mémoire devant le jury de la 5ème session spéciale du Collège des Hautes études de Stratégie et de Défense

21 août 2022 La Ronde Info 0

Le vice ministre congolais de la justice Amato Bayubasire vient d’exhiber son mémoire devant le jury de la 5éme session spéciale du Collège des Hautes […]

Aucune image

Kivu ya kusini : Jengo kubwa lenyi gorofa tano laanguka, na kusababisha vifo na majeraha mjini Bukavu

21 août 2022 La Ronde Info 0

Nyumba yenyi gorofa tano iliyokuwa ikijengwa imeanguka hii juma mosi kuamkia juma pili tarehe 21 Agosti 2022. Watu kufunikwa na wengine kujeruhiwa. Duru mjini Bukavu […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini/ Butembo : Mea wa mji atangaza kuondoka kwa vikosi vya MONUSCO eneo hilo

20 août 2022 La Ronde Info 0

Katika tangazo lake la juma mosi tarehe 20 Agosti 2022, mea wa mji wa Butembo, kamisa mkuu Mowa Baeki Roger ahakikisha kuhamishwa kwa vikosi vya […]

Aucune image

DRC : Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo anena kukerwa na hali ya nchi inayo sababishwa na Rwanda jirani

20 août 2022 La Ronde Info 0

Raisi wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo , afasiria kuwa na moyo mwema, akiweka mbele diplomasia, alipofika madarakani nchini. Katika mkutano […]

Aucune image

Kivu ya kusini : Mtu moja ajeruhiwa kwa risasi pa Misisi

20 août 2022 La Ronde Info 0

Habari toka pa Misisi jimboni Kivu ya kusini zaeleza kwamba, mtu moja amejeruhiwa munamo usiku wa ijumaa kuamkia juma mosi tarehe 20 Agosti 2022. Ni […]

Aucune image

Katanga: Liwali wa jimbo hilo ameitwa haraka mjini Kinshasa, mji mkuu wa DRC

20 août 2022 La Ronde Info 0

Liwali wa jimbo la Katanga Julie Ngungwa, ameitwa kwa haraka mjini Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Huyu akiitwa naye waziri mkuu […]

Aucune image

Goma: Liwali wa jimbo la Kivu ya kaskazini arudi mjini Goma kutoka Beni na Butembo, ambako alipongeza raia kutokana na hali mbovu iliyojitokeza huko

18 août 2022 La Ronde Info 0

Akiwasili kwenyi uwanja wa ndege kutoka mjini Béni na Butembo, Liwali wa jimbo la Kivu ya kaskazini Constant Ndima Kogba anena kurudi ziarani. Alijielekeza huko […]

Aucune image

DRC : Félix Antoine Tshisekedi amechukuwa madaraka ya uongozi wa SADC wakati wa kilele cha 42 mjini Kinshasa

17 août 2022 La Ronde Info 0

Raisi wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo amepewa uongozi wa muungano wa nchi za Afrika SADC, wakati wa kilele cha 42 […]

Aucune image

Goma: Mwanabunge wa taïfa Josué Mufula aendelea na kazi za utetezi bungeni

16 août 2022 La Ronde Info 0

Akiwasili mjini Goma hii juma tatu tarehe 15 Agosti 2022, Mwanabunge wa taïfa Josué Mufula anena kuja likizoni baada ya matunzo nje ya DRC. Akitowa […]

Aucune image

Kivu ya kusini : Vikosi vya jeshi la Burundi vyaingia kwenyi ardhi ya DRC, ili kusaka pamoja usalama na jeshi la taïfa

16 août 2022 La Ronde Info 0

Habari toka bondeni Ruzizi jimboni Kivu ya kusini, ni kwamba askari jeshi toka nchi ya Burundi wameingia kwenyi udongo wa DRC. Ni katika lengo la […]

Aucune image

RDC : La RDC aura du mal à vivre en paix, vu ses potentialités,devra négocier surtout qu’il a l’ambargo sur les armes, mais aussi organiser son armée

16 août 2022 La Ronde Info 0

Au cours d’une interview accordée à la presse locale à Goma, l’honorable Mwami Kabare Rugemaninzi 2 a brossé l’origine des guerres à répétition en République […]

Aucune image

Goma: La Mutuelle d’Epargne Ensemble Devenons Riches MEDR en sigle se porte bien.

13 août 2022 La Ronde Info 0

Au cours d’une interview accordée à la ronde info ce mercredi 11 août 2022, le Coordonnateur de cette association Joseph Kitaganya affirme l’évolution des travaux, […]

Aucune image

Nord Kivu : Est ce que les occidentaux nous aiment ou ils aiment ce que nous avons ?( Professeur Docteur Joseph Kitaganya)

11 août 2022 La Ronde Info 0

Moi j’aurais souhaité voir les États Unis prendre aussi leurs responsabilités, en infligeant comme ils l’ont toujours fait par rapport à certains Etats, à certains […]

Aucune image

Bukavu/ Panzi: Norbert Basengezi Katintima ajitowa katika ujenzi wa uwanja wa kandanda Parade

11 août 2022 La Ronde Info 0

Akizungumza na raia kupitia viongozi wa tabaka za chini, Liwali wa zamani wa jimboni Kivu ya kusini Norbert Basengezi Katintima aahidi kujihusisha katika ujenzi wa […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini : Mwanzilishi wa shirika FOBAC Christian Bahati ahusika na swala za kijamii

10 août 2022 La Ronde Info 0

Alipowasili kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma, Christian Bahati Prezidenti wa shirika FOBAC alipokelewa kwa shamra shamra. Wanamemba wa shirika lake, viongozi kadhaa, akina mama […]

Aucune image

DRC : Jambazi wenyi kuendesha operesheni kati ya mji wa Kinshasa na Kongo central wame onyeshwa mbele ya waziri makamu wa kwanza Daniel Aselo

8 août 2022 La Ronde Info 0

Watenda maovu ishirini na tatu miongoni mwao moja munyarwanda, walionyeshwa hazarani, mbele ya waziri makamu wa kwanza Daniel Aselo, mjini Kinshasa. Walionyeshwa na askari polisi, […]

Aucune image

Maindombe: Mizozo kati ya makabila yaripotiwa eneo hilo

8 août 2022 La Ronde Info 0

Habari zilizotumwa kwenyi média yako on line la ronde info, zaeleza kwamba ndowa kati ya kabila la Bateke na Bayaka zavujika. Wazazi wanapotowa mtoto wao […]

Aucune image

Bukavu : Liwali wa jimbo la Kivu ya kusini aendelea na kazi za ujenzi mtaani Bagira

8 août 2022 La Ronde Info 0

Duru toka ikulu ya liwali zanena kwamba kazi hizo zasapotiwa kwa asilimia tisini na serkali ya jimbo. Zikirahisisha mawasiliano kwa mitaa tatu ya mji wa […]

Aucune image

Goma : Msichana moja mwenyi umri wa miaka nane afariki dunia kwa kujitundika katani Majengo

6 août 2022 La Ronde Info 0

Msichana mwenyi umri wa miaka kumi wa kata Majengo, mtaani Karisimbi amejitundika hii juma mosi tarehe 6 Agosti 2022. Kijana huyo binti alijitundika ndani ya […]

Aucune image

Goma : Msichana moja mwenyi umri wa miaka nane afariki dunia kwa kujitundika katani Majengo

6 août 2022 La Ronde Info 0

Msichana mwenyi umri wa miaka kumi wa kata Majengo, mtaani Karisimbi amejitundika hii juma mosi tarehe 6 Agosti 2022. Kijana huyo binti alijitundika ndani ya […]

Aucune image

Goma : Msichana mwenyi umri wa miaka nane afariki dunia kwa kujitundika, katani Majengo

6 août 2022 La Ronde Info 0

Kijana binti mwenyi umri wa miaka nane afariki dunia kwa kujinyonga. Huyu alikutwa amejitundika hii juma mosi tarehe 6 Agosti 2022, majira ya saa kumi […]

Aucune image

Goma : Msichana moja mwenyi umri wa miaka nane afariki dunia kwa kujitundika katani Majengo

6 août 2022 La Ronde Info 0

Msichana mwenyi umri wa miaka kumi wa kata Majengo, mtaani Karisimbi amejitundika hii juma mosi tarehe 6 Agosti 2022. Kijana huyo binti alijitundika ndani ya […]

Aucune image

Goma: Miili kumi ya wakongomani waliofariki katika maandamano ya kupinga Monusco imepelekwa kwenyi makao ya mwisho

6 août 2022 La Ronde Info 0

Kilio na machozi, huzuni, heshima, ilionekana kwa wakongomani walio wengi, wakisindikiza miili za ndugu zao, hadi kwenyi makao ya mwisho. Wakati huo, kazi zilifungwa popote […]

Aucune image

Pokea shauri: Nabii Nicolas Osei wa kanisa Harven’s Gate Ministry aomba akina mama kuto jaribu watumishi wa Mungu

6 août 2022 La Ronde Info 0

Nabii Nicolas Osei kwa jina la Kamchacha wa kanisa Harven’s Gâte Ministry anena kujaribiwa,  alipokuwa katika maombi muda wa wiki kadhaa.  Kijana mwanamuke moja asiyevaa […]

Aucune image

Goma : Miili kumi isio na uhai miongoni mwa kumi na tatu wahanga wa maandamano kwa kupinga Monusco, inapelekwa kwenyi shamba la wafu Makao wilayani Nyiragongo

5 août 2022 La Ronde Info 0

Mbele ya kujielekeza kwenyi shamba la wafu, jeneza kumi zililazwa mbele ya uwanja wa kandanda » stade de l’unité » pa Goma jimboni Kivu ya kaskazini. Jamaa, […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini/ Masisi : Ajali ya barabarani ; watu wawili wafariki dunia na wawili kujeruhiwa vikali

5 août 2022 La Ronde Info 0

Watu wawili wafariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa vikali, kutokana na ajali iliyojitokeza karibu na Kijiji Nzulo, eneo la Kamuronza wilayani Masisi. Ni kwenyi barabara […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini : Goma Fleva média on line itatangaza kipindi cha tatu ; watu waliofaulu ndani ya kazi wakichukuwa nafasi ya kwanza ndani ya sekta zao, watapewa tuzo

4 août 2022 La Ronde Info 0

Kunaandaliwa hii ijumaa tarehe 5 Agosti 2022, sherehe ya kutangaza rasmi watu kadhaa waliofaulu ndani ya kazi zao, wakichukuwa nafasi ya kwanza katika sekta zao, […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini/Walikale: watu munane wamekwisha fariki dunia kutokana na ugonjwa wa kuhara

4 août 2022 La Ronde Info 0

Visa munane vya watu wenyi kufariki na ugonjwa wa kuhara viliripotiwa eneo la Toto, wilayani Walikale jimboni Kivu ya kaskazini. Mwanabunge Prince Kihangi mchaguliwa wa […]

Aucune image

Kivu ya kusini : Zaidi ya miaka ishirini na tano, kiwanda cha sukari pa Kiliba kimeanza mara tena kutowa matunda

3 août 2022 La Ronde Info 1

Bwana Gérard TADEBOIS anena hayo hii juma tano tarehe 3 agosti baada ya kukutana na liwali wa jimbo Théo Ngwabidje Kasi. Miezi tatu tangu kuanzishwa […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini : Mapigano imeanza mara tena kati ya waasi ya M23 na jeshi la taifa

3 août 2022 La Ronde Info 0

Mapigano imeanza mara tena wilayani Rutshuru kati ya waasi wa M23 na jeshi la taïfa FARDC baada ya karibu mwezi moja wa ukimya. Ni kwenyi […]

Aucune image

Kananga: Akina mama saba wamefariki dunia na moja apatikana katika hali maututi wakipigwa na radi

3 août 2022 La Ronde Info 0

Wanawake munane wamepigwa na radi hii juma tano tarehe 3 agosti majira ya saa saba, wakati wa mvua iliyo nyesha dakika kumi. Hayo yalifanyika kwenyi […]

Aucune image

3 août 2022 La Ronde Info 0
Aucune image

3 août 2022 La Ronde Info 0

:

Aucune image

RDC : Francine Muyumba invite tout le monde à ne pas tomber dans les tentatives de balkanisation, de régler les différends avec nos partenaires de manière pacifique

3 août 2022 La Ronde Info 0

À sa descente d’avion à l’aéroport de Goma ce mardi 2 août 2022, la sénatrice Francine Muyumba invite le peuple congolais à ne pas tomber […]

Aucune image

Bukavu: Mwili wa mtu usio na uhai aliyetumia pombe za kulevya wagunduliwa mtaani Ibanda

2 août 2022 La Ronde Info 0

Habari toka mjini Bukavu zaeleza kuonekana kwa mwili usio na uhai wa mwanaume kando na idara ya madini upande wa ofisi ya bunge la jimbo […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini : Kumbukumbu ya maelfu ya wakongomani waliopoteza maisha ndani ya vita vya uporaji wa mali ya nchi

2 août 2022 La Ronde Info 0

Mchambuzi kisiasa pia mwanzilishi wa ideolojia Tujitegemee Dady Saleh ,anena kukerwa moyoni, kwa kuwa raia waendelea kutowa hesabu zisizo kamili kuhusu walio poteza maisha yao […]

Aucune image

DRC: Raisi wa Burundi alaumu ajali iliyojitokeza jimboni Kivu ya kaskazini ikisababishwa na vikosi vya MONUSCO

1 août 2022 La Ronde Info 0

Raisi wa nchi ya Burundi Evariste Ndayishimiye, akiwa pia Prezidenti wa jumwihia ya nchi za Afrika ya mashariki amesema kufwatilia kwa makini hali ya usalama […]

Aucune image

Kivu ya kaskazini : Kamanda wa eneo la tatu la kijeshi amewasili mjini Béni

1 août 2022 La Ronde Info 0

Kamanda wa eneo la tatu la kijeshi Yav Mutombo amewasili mjini Béni, ili kujioneya binafsi nini ilio pelelekea vikosi vya MONUSCO kutenda hivyo tofauti na […]

Aucune image

DRC: Raisi wa Burundi alaumu ajali iliyojitokeza jimboni Kivu ya kaskazini ikisababishwa na vikosi vya MONUSCO

1 août 2022 La Ronde Info 0

Raisi wa nchi ya Burundi Evariste Ndayishimiye, akiwa pia Prezidenti wa jumwihia ya nchi za Afrika ya mashariki amesema kufwatilia kwa makini hali ya usalama […]

Aucune image

Kisangani : Wana harakati wa Muungano Lucha wapigwa na kuwekwa kizuizini, kwa kupinga Monusco

1 août 2022 La Ronde Info 0

Wanamemba wa Lucha wamewekwa kizuizini hii juma tatu tarehe 1 Agosti ,kwa ruhusa yake mea wa mji wa Kisangani Bwana Louis Alasso. Huyu alikataza maandamano […]

Articles récents

  • Sud Kivu : Les cadres et les militants du regroupement politique ADRP accueillent leur autorité morale François Masumbuko Rubota
  • Nord Kivu : Les cadres et les militants du regroupement politique ADRP accueillent leur autorité morale François Masumbuko Rubota
  • Nord Kivu : GERIA accompagne la CENI pour un aboutissement heureux du processus électoral ( Diogène Abely PATAULE)
  • Kivu ya kaskazini : Moïse Katumbi aahidi kuboresha maisha ya wakongomani mbele ya umati uliompokea kwa shangwe na vigelegele
  • Goma: Aux services de sécurité, de mettre la main sur ces inciviques qui abiment ou arrachent les affiches des autres candidats ( Joseph Kitaganya)

Commentaires récents

  • Kivu ya kaskazini : Mapigano imeanza mara tena kati ya waasi ya M23 na jeshi la taifa – LA RONDE INFO dans Kivu ya kusini : Zaidi ya miaka ishirini na tano, kiwanda cha sukari pa Kiliba kimeanza mara tena kutowa matunda
  • Dynamique Malembe dans Nyiragongo : Vijana wa Kiziba 2 waomba serkali kuwalindia usalama eneo hilo la jimbo la Kivu ya kaskazini
  • Redouta MWERESI ARUTA dans Goma: Vijana wasichana na wavulana wanafunzi washikwa katika vitendo haramu kwenyi kata Office
  • Jimmy dans Sud Kivu : Les Républicains de cette province accompagnent à sa dernière demeure l’un de leurs le Professeur Ordinaire Baluku Bajop
  • KAPAKO MUKALA dans RDC: Mathieu Batumike Mpinike salue le courage du Président du Malawi à révoquer les membres du cabinet souhaite ainsi au Chef de l’Etat congolais

Archives

  • décembre 2023
  • novembre 2023
  • octobre 2023
  • septembre 2023
  • août 2023
  • juillet 2023
  • juin 2023
  • mai 2023
  • avril 2023
  • mars 2023
  • février 2023
  • janvier 2023
  • décembre 2022
  • novembre 2022
  • octobre 2022
  • septembre 2022
  • août 2022
  • juillet 2022
  • juin 2022
  • mai 2022
  • avril 2022
  • mars 2022
  • février 2022
  • janvier 2022
  • décembre 2021
  • novembre 2021
  • octobre 2021
  • septembre 2021
  • août 2021
  • juillet 2021
  • juin 2021
  • mai 2021
  • avril 2021
  • novembre 2019

Catégories

  • Sécurité
  • Société
Copyright © 2023 LA RONDE INFO | Site d'informations en continue