DRC: Raisi wa Burundi alaumu ajali iliyojitokeza jimboni Kivu ya kaskazini ikisababishwa na vikosi vya MONUSCO

Raisi wa nchi ya Burundi Evariste Ndayishimiye, akiwa pia Prezidenti wa jumwihia ya nchi za Afrika ya mashariki amesema kufwatilia kwa makini hali ya usalama nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.

Katika tangazo lake, Raisi wa Burundi alaumu vitendo vya MONUSCO, kwa kufyatuwa risasi iliyo pelelekea raia tano kufariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa vikali.

Evariste Ndayishimiye atowa pôle kwa jamaa zilizo kumbwa na msiba kwa peke na kwa serkali ya DRC kwa jumla.

Tukumbushe kwamba watu hawo walifariki dunia, na wengine zaidi ya kumi na tano kujeruhiwa, kwa kufyatuliwa risasi na vikosi vya MONUSCO kwenyi mpaka wa Kasindi, jimboni Kivu ya kaskazini.

Juvénal Murhula.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire