Kivu ya kaskazini : Kamanda wa eneo la tatu la kijeshi amewasili mjini Béni

Kamanda wa eneo la tatu la kijeshi Yav Mutombo amewasili mjini Béni, ili kujioneya binafsi nini ilio pelelekea vikosi vya MONUSCO kutenda hivyo tofauti na kazi yao ya kukinga raia.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire