Msichana mwenyi umri wa miaka kumi wa kata Majengo, mtaani Karisimbi amejitundika hii juma mosi tarehe 6 Agosti 2022. Kijana huyo binti alijitundika ndani ya chumba cha kulala.
Ushuhuda kadhaa zaeleza kwamba, alijitundika akitumia kamba alipokuwa kitandani. Ni mama yake mzazi ndiye alimkuta tayari amejinyonga , na bila kufahamu sababu.
Mtoto huyo mwenyi umri ya miaka nane aliitwa kwa jina la Kanyere Plamedi, Baba yake ni Saidi Kashombili, mama yake ni Kanyere Mambomingi. Mwili ulikutwa asubui majira ya saa kumi na mbili.
Duru zaongeza kwamba vyombo vya usalama vilifika mahali hapo, baada ya kujulishwa, na kufanya uchunguzi. Ndipo hakimu mkuu aliamuru kutowa mwili ndani ya kamba, kwa kungojea mazishi.
Issa Libiri.
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.