Pokea shauri: Nabii Nicolas Osei wa kanisa Harven’s Gate Ministry aomba akina mama kuto jaribu watumishi wa Mungu

Nabii Nicolas Osei.

Nabii Nicolas Osei kwa jina la Kamchacha wa kanisa Harven’s Gâte Ministry anena kujaribiwa,  alipokuwa katika maombi muda wa wiki kadhaa.  Kijana mwanamuke moja asiyevaa chupi  alimtembelea wakati wa maombi.

Mtumishi wa Mungu anena kuwa aliamuru akina mama huyo kukaa nyuma alipofika kanisani. Huyu mama alikataa na kukaa mbele ya mtumishi, akiwa bila kuvaa chupi.

Wakati huo, Nabii akaamuru wakristu kusimama na kuanza maombi. Ndio  akina mama kufunguwa miguu, akionyesha wazi kiungo cha uzazi kwa mtumishi wa Mungu.

Hapo hapo Nabii alichukuwa hatuwa ya kukata maombi alipotupa jicho nafasi hiyo, asije akaanguke majaribuni.

Kwa hiyo Nabii aalika wanawake kuacha tabia mbaya, kwa kutaka kuharibu wachaguliwa wa Mungu kazini mwao.

Chumba cha wandishi.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire