Maindombe: Mizozo kati ya makabila yaripotiwa eneo hilo

Habari zilizotumwa kwenyi média yako on line la ronde info, zaeleza kwamba ndowa kati ya kabila la Bateke na Bayaka zavujika. Wazazi wanapotowa mtoto wao kuunga ndowa, wavunja muungano huo baadae. Wakitaka kucunga wanamemba wao wa jamaa.

Duru zaangazia kwamba shambulizi la ukabila lilijitokeza huko na kusababisha vifo vya watu tano, nyumba nyingi kucomwa moto, na hata mifugo kuharibu.

 » Mtu wa kabila la Bayaka akijielekeza kwa kabila la Bateke anauwawa. Vile vile mtu wa kabila la Bateke, akifika kwa kabila la Bayaka anapoteza maisha, » aeleza akina mama moja aliyekimbilia huko Kikwit.

Chanzo, ni kwamba kabila hizo mbili zapigania udongo. Hapo mbeleni, Bateke walipinga matoleo kwa viongozi wao kutoka Bayaka.

Kwa sasa, Bateke wamefukuza Bayaka, kwamba walishimika kinyume na sheria kiongozi wa asili.

Askari polisi wametumwa huko ili ya kutuliza hali, wawili miongo mwa wanne waliotumwa walitekwa nyara na kabila la Bayaka huko Dumu.

Issa Libiri.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire