Katanga: Liwali wa jimbo hilo ameitwa haraka mjini Kinshasa, mji mkuu wa DRC

Liwali wa jimbo la Katanga Julie Ngungwa, ameitwa kwa haraka mjini Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Huyu akiitwa naye waziri mkuu makamu, husika na mambo ya ndani nchini DRC Daniel Aselo.

Katika barua aliyoipokea toka waziri mkuu makamu, liwali wa jimbo la Katanga bi Julie Ngungwa, anaombwa kufika haraka mjini Kinshasa juma tatu tarehe Agosti 2022.

Mwito huo umejitokeza juma kadhaa, baada ya hali ya heka heka, iliyoripotiwa mjini Kalemia jimboni Katanga. Hali hiyo ilionekana kwenyi bunge la jimbo, na hâta kunako yunivasti ya Kalemia. Ikisababisha vifo na majeraha eneo hilo la Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.

Chumba cha wandishi.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire