
Mtu moja mvunja noti ameuliwa hii juma mosi tarehe 27 Agosti 2022 kwenyi kata Kyeshero mtaani Goma, jimboni Kivu ya kaskazini.
Kutokana na Prezidenti wa shauri la vijana mjini Goma Jules Ngeleza, mhanga kwa jina la Pascal aliuliwa majira ya saa moja usiku.
Huyu alikuwa akitoka kazini wakati alifyatuliwa risasi na watu wasio julikana, wenyi kushikilia silaha, Bwana Pascal mvunja noti alikuwa akirudi nyumbani kwake.
Ndipo jambazi wakitembea kwa pikipiki walimfyatulia risasi hapo hapo, na baadae kuaga dunia.
Issa Lubiri.
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.