RDC: Umoja wa Ulaya unachukuwa hatua ya kusindikiza DRC ndani ya kazi za madini

Waziri husika na mambo ya madini Antoinette Nsamba amepokea hii alhamisi tarehe 25 Agosti, balozi wa Umoja wa Ulaya Bwana Jean Marc Châtaigner.

Katika mazungumzo, Umoja wa Ulaya kutafuta namna ya kusindikiza Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo katika sekta ya madini.

Mazungumzo na balozi toka Umoja wa Ulaya yaliruhusu kuelewa maoni yake Raisi wa DRC Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo, kuhusu namna ya kutengeneza madini nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.

Juvénal Murhula.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire