DRC/ michezo: Timu la Léopard lapinga kucheza mechi ya marudilio na nchi ya Tchad

Timu la Léopard.

Timu Léopard la Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo lapinga kucheza mechi ya marudilio na nchi ya Tchad. Mechi ya mwanzo inapangwa tarehe 28 Agosti 2022, na marudilio ni tarehe 4 septemba 2022. Ni mechi ya kuondoka, kuhusu mashindano ya kandanda barani Afrika, CHAN. Itachezwa mjini Kinshasa, mji mkuu wa DRC.

Duru za karibu na timu hilo bingwa nchini DRC lanena kwamba, ni mara pili mufululizo timu Léopard lacheza mechi ya kirafiki na Diables rouges ya Congo Brazzaville, ila wachezaji hawapate marupu rupu yao baada ya kazi.

Timu la Léopard laomba serkali ya DRC, kutowa jibu kuhusu haki yao. Wakinena kwamba tarehe 4 septemba 2022 ndio ya mwisho, na ni siku ambayo watacheza mechi ya marudilio na timu la Tchad.

Chumba cha wandishi.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire