Nigeria : Mwanaume moja afasiria kuwa amefanya kitendo cha ndowa na bintiye wakizaa watoto wawili

Bwana moja kwa jina la Amaechi Agnalata wa kabila Nnobi huko Anambra, kusini mashariki mwa Nigeria pamoja na binti yake, wahakikisha kufanya kitendo cha ndowa, wakizaa watoto wawili. Hawa wamefukuzwa ndani ya kabila, kwa kuwa wamefanya kizila.

Wakihojiwa na wanamemba wa kabila lao kuhusu hali hiyo ya kizila, binti ahakikisha kwamba babae ni mume wa kwanza aliyemjua kwa kitendo cha ndowa. Akiongeza kwamba tangu babae kuachwa n’a wake zake, alimshurtisha binti huyu kuishi kimapenzi, hadi kuzaa watoto wawili. Binti huyu kwa jina la Queen Bassey anena kuwa, hakujuwa binafsi nini ilipelekea mapenzi yao kudumu.

Akijieleza naye babae, asema kuwa alijikuta amechiliwa na wake zake, na hâta watoto wengine aliowazaa. Na kwamba ilimubidi kuishi kitendo cha ndowa na bintiye asije akampoteze pia. Wote wawili wakipatana katika kitengo Crois River.

Tukumbushe kwamba hawa wawili walifukuzwa kata kata na kabila lao, wakishutumiwa kizila.

Juvénal Murhula.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire