DRC : Mtihani wa serkali elimu ya kiufundi umeahirishwa kwa tarehe 28 hadi 31 Agosti 2022

Waziri husika na mambo elimu ya kiufundi nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo amena kuarishwa kwa mtihani wa serkali mafunzo ya kiufundi kwenyi eneo lote la Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.

Hiyo ni kupitia barua lake alilo kutuma kwa maliwali wa majimbo, ma inspekta, viongozi husika na sekta ya ufundi kwenyi majimbo na wengineo.

Juvénal Murhula.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire