Kivu ya kaskazini : Furaha Katungu yupo ziarani mwa kazi, akileta ujumbe wa amani

Ninashukuru kwa mapokezi yenu . Nimetumwa na serkali ili kupongeza raia wa jimbo hili wenyi kukumbwa kila leo n’a mauwaji kutokana na vita. Ninayo mipango ya kazi kuelekea sekta yangu ya utamaduni, katika kutafuta amani na umoja wa wanainchi.

Waziri wa mambo ya utamaduni Furaha Katungu alisema kukutana na raia wa kila aina ili kuzungumzia maendeleo ili kutafuta amani ya kudumu.

Baada ya mipango ya kazi waziri bi Furaha Katungu anena kwamba atapokea Prezidenti wa chama chake UNC Vital Kamerhe, ambaye yupo ziarani mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Akichochea popote ujumbe wa amani.

Juvénal Murhula.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire